Home
Unlabelled
mtandao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ina maana wanatumia wireless network hapo? Ahh mambo hayo safi sana. sasa ni bure au unalipiwa?
ReplyDeleteJonas acha kushangaa camera,nimekumiss lakini
ReplyDeleteHeeeh... Them eyes Bro, just when u thought u got enough fun and surprises from the man himself.... OUT OF NO WHERE, here is Jones again!!
ReplyDeleteJonas mbona unashangaa hivyo...Duh I miss the palce...kijiwe Bombaa Sana hiko...nageuza Dec nitapita hapo kukumbukia enzi!!
ReplyDeletehapo ni buree,haulipi hata sent moja! wewe nenda tu na laptop au beba pc yako/lako,ukifika una-connect kwenye cable,siyo wireless na ku-surf au unaosha kinywa mpaka ukichoka unabeba laptop/pc yako/lako na kwenda kwenu na hii ni kila siku pale steers millenium tower k'nyama
ReplyDeletekweli hii inafurahisha sana. bongo imenikuna. poa sana.
ReplyDeleteHii sio WI-FI, huoni hayo mawaya kibao?
ReplyDeleteNawaona ma-Anony hapo cafe wanaosha vinywa, akina Majita hao
ReplyDelete