mtandao una mashabiki wengi siku hizi bongo. hapa ni katika mgahawa wa mtandao wa steers kijitonyama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ina maana wanatumia wireless network hapo? Ahh mambo hayo safi sana. sasa ni bure au unalipiwa?

    ReplyDelete
  2. Jonas acha kushangaa camera,nimekumiss lakini

    ReplyDelete
  3. Heeeh... Them eyes Bro, just when u thought u got enough fun and surprises from the man himself.... OUT OF NO WHERE, here is Jones again!!

    ReplyDelete
  4. Jonas mbona unashangaa hivyo...Duh I miss the palce...kijiwe Bombaa Sana hiko...nageuza Dec nitapita hapo kukumbukia enzi!!

    ReplyDelete
  5. hapo ni buree,haulipi hata sent moja! wewe nenda tu na laptop au beba pc yako/lako,ukifika una-connect kwenye cable,siyo wireless na ku-surf au unaosha kinywa mpaka ukichoka unabeba laptop/pc yako/lako na kwenda kwenu na hii ni kila siku pale steers millenium tower k'nyama

    ReplyDelete
  6. kweli hii inafurahisha sana. bongo imenikuna. poa sana.

    ReplyDelete
  7. Hii sio WI-FI, huoni hayo mawaya kibao?

    ReplyDelete
  8. Nawaona ma-Anony hapo cafe wanaosha vinywa, akina Majita hao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...