Home
Unlabelled
mwali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naipongeza sana Bank ya NMB na Serengeti lager kwa tafu wanayoipa Taifa Starz. they have shown to be good Corporate citizens of TZ.
ReplyDeleteJapo historia ya NMB ina machungu yake kidogo - kama unakumbuka longolongo wakati wa kuuzwa kwa hii bank. lakini sasa tunapata faraja kinamana kwa michango inayotoa ktk jamii.
Huo mchango wa basi ni mchango ambao utaipa Taifa Starz utambulisho pindi wanapokuwa safarini. pongezi NMB na Serengeti na pongezi kwa serikali kwa ujenzi wa Neshno mpya.
HEE HILI NDIO BASI LAO NA LIMETOLEWA NA BENKI NMB..LA HAULA LAKWATA
ReplyDeletewewe huyo anaitwa Iman Kajula sio Iman Kajura.
ReplyDeleteTofauti;
Kajura= mhaya
Kajula= Mnyakyusa
Huyo jamaa ni mnyakyusa
We Imani Kajula sasa unachemsha kila siku wabadilisha mabenki mara CRDB,mara TPB mara NMB..na huko ukishaiba viposho utaondoka wende Mufindi au Mwanga community bank..pamoja na soko huria bro tulia kumoja pia punguza mapomp ya kishomile.
ReplyDelete