wadau wengi wametumia ubunifu kutengeneza mekandazi za timu ya taifa na kupata faida kubwa siku ya mechi kama ya leo. hiyo skafu alfu tano, bendera jero na kofia tembo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa kumekucha na Sare za staaz
    wamachinga wasije kutengeneze jezi feki za Adidas maana itakuwa aibu kwa Taifa.

    ReplyDelete
  2. LEO NGOJA NIKUMBUSHIE KIPAJI CHANGU CHA KUSHEKHE YHAYA.

    LEO STARZ WATASHINDA KWA GOLI TATU MDUARA.

    STAZIIIIIIIIIIII OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  3. SASA SKAFU WANATENGENEZA ZA NINI WAKATI HUKO NI JOTO?

    ReplyDelete
  4. Uliyeuliza, "SASA SKAFU WANATENGENEZA ZA NINI WAKATI HUKO NI JOTO?"

    JIBU: Kwa sababau wengine huko (niseme Dar) wanavaa butizz na sutizz za wintazz!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...