wapiga picha za luninga kazini

maegesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii haihusiani na hawa jamaa, ila inahusiana na hao sijui mnaita wadhamini wa blog hii ama vipi.

    Duh, hiyo mihela wanayoonyesha hapo imenitia wazimu. nimejaribu kuprint tena kwa coloured printer lkn nooma!

    Tusitiane majaribuni jamani, wengine hapa tupo choka mbaya, sasa kuonyeshana mihela hiyoooo, mwanipa kizungu zungu.

    ReplyDelete
  2. Alooo..Parking kubwa kama hii bongo nimeiona pale Mlimani city..Waosha vinywa kila siku nyie kuua tu,lakini jamani huku bongo siku hizi mambo mengine mazuri yashaanza kuonekana..vitu vingine hawa jamaa wanastahili pongezi..big up yoyote aliyekuja na wazo la uwanja huu..i believe alikuwa Ben Mkapa!

    ReplyDelete
  3. HAYO MAEGESHO LAZIMA KILIPWE KINACHOELEWEKA.
    MTINDO WA KUTAKA KUEGESHA MAGARI BURE KUANZIA SASA UFE.
    WEMBLEY UKEREWE KUEGESHA GARI SIKU YA MECHI JAMAA WANALAMBA HADI TOKA £15-30 KUTEGEMEA UNAPAKI ENEO LIPI.
    KWA HIYO UKITAKA KUPAKI HAPO MICHUZI JAMAA LAZIMA WAWALAMBISHE WENYE MAGARI KUANZIA SH.5000. HAPO NI SALAMA HUVUNJIWI KIOO, SITE MIRROR HAIBANDILIWI NA REDIO YAKO UTAIKUTA KAMA KAWA.
    KILA KITU LAZIMA KIINGIZE FEDHA WANJA LIMEGHARIMU FEDHA NA LAZIMA LITUNZWE USIJE UKAWA KAMA WA MOI KASARANI AMBAO SASA HIVI NI KAMA DANGURO.. TUNA USONGO NALO ILE MBAYA. BIG UP KWA SAAANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...