Home
Unlabelled
nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
athumani hongera mkuu, nakukumbuka enzi za ifunda technical secondary school za kusomea msituni hadi kula nondo si mchezo mzee tuwasiliane warrenf79@hotmail.com
ReplyDeleteMikozzzzzz nondozzzz naona vinaenda pamoja hongera kaka Asumani.
ReplyDeleteMBONA UTURUKI WANAOSOMA KULE KARIBIA WOOTE NI WAISLAMU? WAKRISTO VIPI?
ReplyDeleteWakristo wanasoma Itali.
ReplyDeleteKwani wewe unae uliza ni dhehebu gani na umesoma wapi.
Anony. wa hapo juu kule wewe kama muislamu basi uanapata admission hata kama huna sifa. No maana akina Masudi, Ally, Jabir wamejazana
ReplyDeleteanony. wa hapo juu njoo basi turky uone watu wanavyo teseka kupata hio degree.unawajua kina ally masudi na jabir,unajua wametoka na point ngapi huko kwao au unachonga.mtu gani unayoo mjua wewe kakamata nondo kimchezo kimchezo.Alafu nondo za huku ni engineering na udaktari tuu.
ReplyDeletehongera KAKA FUKO,wakilisha uturuki na kote duniani
Mijitu mingine bwana imekazania udini!!!mie sijali dini,rangi wala kabila yoyote ili mradi wewe mtz nakufagilia congratulations brother kwa kuibua hio nondozzzz.
ReplyDeleteCHA CHANDU
Big up kwa sana m2 wangu!!nakupa sana aferiin kwa sababu nakuaminia ile kinoma!!bro micho kuna watu hawajui mambo ambayo hata we mwenyewe huyapendi na mojawapo ni udini na ukabila!!sasa hilo jamaa ambalo linaona wivu hapo juu,inaonekana hata mikono na nondozz halijawahi hata siku moj.Unajua micho blogg hii hata ambao wameishia darasa la saba wanaingia humu,na ndio wanaoleta mamo ya ubaguzi na udin.Big up sana Fuko ni mi mwanao hapa Redish in Ankara.
ReplyDelete