mdau athuman fuko akisherehekea mahafari ya kula nondozz ya uhandisi wa kompyuta kwa mikonozzz huko chuo kikuu cha istanbul university uturuki. hongera mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. athumani hongera mkuu, nakukumbuka enzi za ifunda technical secondary school za kusomea msituni hadi kula nondo si mchezo mzee tuwasiliane warrenf79@hotmail.com

    ReplyDelete
  2. Mikozzzzzz nondozzzz naona vinaenda pamoja hongera kaka Asumani.

    ReplyDelete
  3. MBONA UTURUKI WANAOSOMA KULE KARIBIA WOOTE NI WAISLAMU? WAKRISTO VIPI?

    ReplyDelete
  4. Wakristo wanasoma Itali.
    Kwani wewe unae uliza ni dhehebu gani na umesoma wapi.

    ReplyDelete
  5. Anony. wa hapo juu kule wewe kama muislamu basi uanapata admission hata kama huna sifa. No maana akina Masudi, Ally, Jabir wamejazana

    ReplyDelete
  6. anony. wa hapo juu njoo basi turky uone watu wanavyo teseka kupata hio degree.unawajua kina ally masudi na jabir,unajua wametoka na point ngapi huko kwao au unachonga.mtu gani unayoo mjua wewe kakamata nondo kimchezo kimchezo.Alafu nondo za huku ni engineering na udaktari tuu.


    hongera KAKA FUKO,wakilisha uturuki na kote duniani

    ReplyDelete
  7. Mijitu mingine bwana imekazania udini!!!mie sijali dini,rangi wala kabila yoyote ili mradi wewe mtz nakufagilia congratulations brother kwa kuibua hio nondozzzz.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete
  8. Big up kwa sana m2 wangu!!nakupa sana aferiin kwa sababu nakuaminia ile kinoma!!bro micho kuna watu hawajui mambo ambayo hata we mwenyewe huyapendi na mojawapo ni udini na ukabila!!sasa hilo jamaa ambalo linaona wivu hapo juu,inaonekana hata mikono na nondozz halijawahi hata siku moj.Unajua micho blogg hii hata ambao wameishia darasa la saba wanaingia humu,na ndio wanaoleta mamo ya ubaguzi na udin.Big up sana Fuko ni mi mwanao hapa Redish in Ankara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...