wadau walikuwa nyomi miss tz pale lidaz klabu ambayo ilifurika kila pembe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani kumbe nyumbani watu wamekucha hivi? setting ya miss tz very classy, hebu niende shoppingi mie, kwani ni kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. jamani ni macho yangu tu au tumevamiwa na wazungu. hawa wakoloni wanataka kurudi nini? maana namba ya weusi almost sawa na wazungu. Makubwa haya

    ReplyDelete
  3. Jamani kweli wabongo tushaanza kujua kujichanganya..yaani jana inaonekana palikuwa live kinoma huko dar,nimezipenda sana picha za wanja jipya na hizi za miss tz..can't wait kurudi nyumbani jamani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...