
washindi wa tatu bora wa kwanza walibahatika kupata picha na simba wa vita mzee rashidi mfaume kawawa na mkewe. shoto ni mshindi wa pili queen david, miss tz 2007 richa adhia na mshindi wa tatu lilian abel. ikumbukwe richa na lilian walitokea miss kinondoni ambako nako walishika nafasi hizo hizo. queen ni malkia wa tmk
HIVI HUYO MISS TZ MBONA HANA RANGI KAMA YA MZEE KAWAWA ONA WENZAKE WANAVYOFANANA NA KAWAWA WOTE WANA RANGI ILIYOKO KWENYE BENDERA YETU! HAYA KILIKONI NA WEWE MZEE WETU INAMAANA UMEZEEKA SANA KIASI KWAMBA HUJUI KINACHOENDELEA HIVI KWELI UNATOA BARAKA ZAKO HUYO AWE TANZANIA! HEBU AMKA MZEE KAWAWA UMETIWA CHANGA LA MACHO!
ReplyDeleteHuyo Lilian Abel alijibu maswali vizuri sana , nashangaa huyo mhindi sijui alitokea wapi? Ndiyo mana Hoyce Temu alilia sana kwa matokeo yao ya kupendelea Mhindi.
ReplyDeleteMichuzi unakumbuka enzi za suruali za kubana chini na mini sketi zilpokua zinachanwa? Tafuta zile posters zilizokua zinaonyesha chupa ya soda lazima ipite chini ya mguu wa suruali la sivyo inachanwa
ReplyDelete