Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume akitoa Hotuba ya kuukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikulu ya Zenji.


NAMI NAWATAKIA WADAU WOTE, MTAOFUNGA, MFUNGO MWEMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Naomba kusahihisha, NAWATAKIA na siyo "NAWADAKIA"

    Mdau.

    ReplyDelete
  2. Na mimi nawatakieni mfungo mwema ndugu zangu wote waislam popote pale mlipo. Inshallah, mwenyezi Mungu awajaalie funga njema na upendo na muweze kutimiza nguzo hii muhimu.

    ReplyDelete
  3. RAMADHAN KAREEM!

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi, naomba picha za mabondia waliong'ara na dhahabu!

    ReplyDelete
  5. Asante.Wewe hufungi?

    ReplyDelete
  6. Utuhusia siku zote basi,siyo mwezi wa Ramadhani tuu unajua mungu yupo,miezi mingine ni mtu wa ULABU tuu,ukifunga sasa then ukarudi uliyokuwa unafanya basi saumu yako ina matatizo

    Tumuombe mungu saumu zetu ziwe za kweli na mategemeo
    Inshallah

    ReplyDelete
  7. Mie nahisi ikifika Kwaresma pia kutakuwa na hotuba. Yetu macho

    ReplyDelete
  8. Ni kipindi kigumu na kirefu kwa wale wa Ulabu! kwani hunywa ulabu wao kimaficho sana...

    ReplyDelete
  9. jamani kama kuna mtu anajua pa kufuturu basi atuambie na sisi hapa kwa maana ambao ilibidi wafunge ndo kwanza nakata nao budlight, pamoja na MGD hapa home...
    kasera

    ReplyDelete
  10. Kila la heri katika Mfungo Mtukufu!

    ReplyDelete
  11. hivi ni nani aliyehalalisha marekebisho ya bendera ya taifa? mbona siku hizi rangi ya buluu haionekani? kama ni sababu ya cuf inauhusiano na hiyo rangi basi iondolewe kikatiba na siyo vichochoroni.

    ReplyDelete
  12. JAMANI TUKUMBUKE HUU NI MWEZI WA TOBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...