Home
Unlabelled
Ramadhani Njema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kusahihisha, NAWATAKIA na siyo "NAWADAKIA"
ReplyDeleteMdau.
Na mimi nawatakieni mfungo mwema ndugu zangu wote waislam popote pale mlipo. Inshallah, mwenyezi Mungu awajaalie funga njema na upendo na muweze kutimiza nguzo hii muhimu.
ReplyDeleteRAMADHAN KAREEM!
ReplyDeletekaka michuzi, naomba picha za mabondia waliong'ara na dhahabu!
ReplyDeleteAsante.Wewe hufungi?
ReplyDeleteUtuhusia siku zote basi,siyo mwezi wa Ramadhani tuu unajua mungu yupo,miezi mingine ni mtu wa ULABU tuu,ukifunga sasa then ukarudi uliyokuwa unafanya basi saumu yako ina matatizo
ReplyDeleteTumuombe mungu saumu zetu ziwe za kweli na mategemeo
Inshallah
Mie nahisi ikifika Kwaresma pia kutakuwa na hotuba. Yetu macho
ReplyDeleteNi kipindi kigumu na kirefu kwa wale wa Ulabu! kwani hunywa ulabu wao kimaficho sana...
ReplyDeletejamani kama kuna mtu anajua pa kufuturu basi atuambie na sisi hapa kwa maana ambao ilibidi wafunge ndo kwanza nakata nao budlight, pamoja na MGD hapa home...
ReplyDeletekasera
Kila la heri katika Mfungo Mtukufu!
ReplyDeletehivi ni nani aliyehalalisha marekebisho ya bendera ya taifa? mbona siku hizi rangi ya buluu haionekani? kama ni sababu ya cuf inauhusiano na hiyo rangi basi iondolewe kikatiba na siyo vichochoroni.
ReplyDeleteJAMANI TUKUMBUKE HUU NI MWEZI WA TOBA
ReplyDelete