
richa akiwa na loya wa daily news/habarileo, mh. makene

mhariri wa habari wa daily news suk chat akibonga na richa

anko sagati wa habarileo na richa

kilasa mtambalike wa daily news na moulid ahmed wa habari leo wana kila sababu ya kufurahi, kwani...

naona kuna haja ya kuiga staili hii ya konozzzz ya msanifu wa kurasa wa daily new, maluba

anko ft wa makala za watoto za sunday news naye hakucheza mbali
...safi sana, huyo mhariri wa siku nyingi Mzee Suk Chhatber alibonga na mrembo lugha gani Michu sio kihindi? sio baba yake mdogo?kwani mrembo anaonyesha nizammu ya kifamilia hajamkumbatia....
ReplyDeleteMichuzi huyu msichana mfupi sana. Mlinganishe mwenyewe na miss world 2001 uone.
ReplyDeleteHayamashindano yanahitaji unique fiatures...sas huyu ni mzuri wakuolewa na kuwekwa ndani...You know what I mean ..."A TROPHY WIFE" uzuri wake ni wake na sio mbaya kabisa lakini je ni unique ..hapana...yuko kma msichana mwingine yeyote ambaye ni mzuri
HIVI HICHO CHUMBA CHA HABARI, ANGALIENI HIYO STAILI YA MIKONOOOZI ITAWATOKEA PUANI ONE DAY!!!
ReplyDeleteMCHEZEENI HUYO HUYO MISS TANZANIA.
YAANI MTU AKIMSHIKA HIVYO MY WAIFU WANGU HIZO COMPUTER ZENU ZITAGAWANYIKA.
HASA HUYO MALUBA, KWA KWELI MKONOOZI WAKE UMEVUKA KIPIMO!!!
YANGU MACHO TUU!!!
WAOSHA VINYWA WATANIAMBIA TATIZO SIJATEMBEA .SASA SIJUI HAPA NATAMBAA.
HUYO LOYA WENU ANAFANANA SANA NA EMMANUEL TAMIRA AMBAYE ALIKUWA SCHOOL MATE WANGU.
ReplyDeleteHEBU MICHUZI NISAIDIE NAWEZA KUKUTANA NA MATE WANGU HIVI HIVI KWENYE BLOG BILA KUWEKA PICHA.
Kaka Michuzi mmemdhalilisha kijinsia huyo dada Miss Tanzania.
ReplyDeleteYaani mmemshikashika wee. Mikonozzzzz kila sehemu. Mweeh!
Yaani mmemgombania kama mpira wa kona! Akaa!
Dont tell me miss Tanzania she is Indian what a suprise.unfortunatelly in Tanzania warembo wamekwishaaaaaaaaaaaaa ndio maana yake ndio maana sifuatilie tena haya mambo ya urembo
ReplyDeleteHaya sasa mseme tena watu tuna majungu pouwa!
ReplyDeleteNimetembelea profile ya Richa hi5, kuna kajamaa kanafanya Vodacom Bongo, kaliweka comment on May kwa Richa kwamba "Miss Tanzania 2007/2008"!
Mwenye kubisha atembelee hi5 profile ya Richa, zote mbili ni zake.
Jina la jamaa na makazi yake ntawaletea soon!
Tukisema ni deal mnakataa, sasa huyu Jamaa wa Vodacom alijuaje? Na hao hao Voda ndo wadhamini wa Miss flani!
Kaazi kweli kweli!
Mpekuzi!
MICHUZI UMECHEMKA!!! HUYO LOYA NATITWA EMANUEL TAMILA NA SI MAKENE
ReplyDeleteMichuzi jamani unavyohangaika na huyu dada wa kihindi.hivi ni kweli umesahau tabia za wahindi wanavyojifanyaga wazuri wakiwa na shida???jamani fumbueni macho hata kama mnahongwa ni hela gani hiyo wanayowahonga inajenga nyumba? au ni ya soda tu???wewe na wanahabari wengine wengine fumbueni macho mnafanywa wajinga na mnakubali tena kirahisi,jamani!!!!!!!!na upost hii comment maana commets zote na hivi unazificha zitoe zote unaogopa nini sasa?kwamba umekuwa mtumwa wa wahindi? kwani ni uongo?tatizo lipo wapi kama wanakujengea nyumba?bulshit!!
ReplyDeleteNa bado, goma ndio linaendelea kurindima hilo muda si mrefu ttasikia waziri mkuu muhindi kama siyo president, Haya dada tunataka hatutaki inabidi tukubali na kukusupport. Kapeperushe bendera salama.
ReplyDeleteRicha akisinda Miss Universe mtasemaje? Huyo mhindi wa chini mbona mwembamba mno.
ReplyDeleteHii ni njia mojawapo kwa sisi watanzania weusi kuacha ubaguzi.Ni aibu kwa kweli, tunafikiri ni haki yetu ya kuzaliwa kuwa wabaguzi wa rangi lakini ni wa kwanza kulalamika.Michuzi ili watu tuwe wakweli naomba usiruhusu maoni anonymous!
ReplyDeleteMichuzi-uliwahi kuwa mwalimu?hawa jamaa umewafundisha kuweka mkono kiswahili wao wameanza kuiweka kimakonde,siajabu kuja kufika mwezi ujao ukasikia wamefunguliwa kesi ya uzalilishaji au ya kubaka.
ReplyDeleteNAWAKILISHA!
uyo anko ft mbona anatisha au ni mgonjwa? MWEEEE
ReplyDeletemaluba mbona suruhari imetuna maeneo ya zipu kulikoni.
ReplyDeleteRicha anapendeza.
ReplyDeletemh huyo kaka vipi?naona mikonozzzzzzzzzzzzzzzzzzz!halafu na Richa alivyomwembamba basi amekumbatia vilivyo mpaka mkono unafika tumboni.lol! mh mwambie ajifunze style ya kukumbatiaz kama ana mke leo mwisho kwa ukumbatiaji huo!naye huyo Richa kajiachia mi ningeusukuma huko huo mkono ningemwambia kaka taratibu kumbatia kizungu sio kimakonde!
ReplyDeleteteh teh teh kafupi haka.
ReplyDeleteNa viwembe mtakula, eti mfupi! 168 Richa Adhia. ma miss wengi tu walishiriki na hio height, halafu ni ujuha wenu kwani hii ni miss na sio super model, tofautisheni nyie mnaosema mfupi.
ReplyDeleteJaribuni hata kupitia ile tovuti ya miss world angalieni washiriki wote wa miaka yote. 168 ni kawaida tu.
Kwahio kwa hili la urefu hamna jipya, anzeni jingine.
Heheeheeeee halo halooo mtajijuu
Mweee ngoja niende kusuka mie.
du! anko ft is very slim
ReplyDeleteNamsaidia Michuzi kujibu swali moja tu.
ReplyDeleteKwa wanaohoji kuhusu huyo Loya wa Daily News,
Jina : Emanuel Tamila Makene.
Kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi kampuni moja hivi inaitwa Deloitte kama sikosei, na yule anayeuliza, kama kweli ni school mate wake, inawezekana ni kweli, kama alikuwa anaitwa Emanuel Tamila Makene, na kamaliza mlimani kitengo cha sheria mwaka 2004 kama sikosei.
ciao
Michuzi, naona watu wamezidi kukuuliza kuhusu majina yangu kamili, tangia mwaka jana, naona watu wanasema ulikosea jina langu.Ukweli ni kuwa kaka Michuzi hukukosea jina langu. Jina langu ni EMMANUEL TAMILA S/O JAMES BONIPHACE MAKENE, na hili ndio jina lipo katika passport zangu zote nne. Kwa kifupi huwa najulikana kama EMMANUEL TAMILA MAKENE. Kwa urefu zaidi naitwa EMMANUEL TAMILA S/O JAMES BONIPHACE MAKENE TAMIRA MASANGA MISANA.Naomba mkumbuke kuwa TAMILA ni jina langu la nyumbani na sio la baba yangu.Wengi katika jamii yetu huwa tunatumia jina la ubatizo na la kimila. Mfano PIUS MSEKWA; MSEKWA si baba yake na PIUS, isipokuwa MSEKWA ni jina la kimila la PIUS
ReplyDelete