simba wa vitamzee rashidi mfaume kawawa alikuwepo usiku huu kwenye vodacom miss tz 2007 ambapo baada ya kuvikwa taji mshindi richa adhia alikwenda kupata baraka za mzee wetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. HUYU MISS MBONA ANA JINA KIUMENI? ANAITWA RICHAD HIA AU MIMI MIMECHO YANGU NDO INA UGOGO. SIMPENDI NG'O

    ReplyDelete
  2. some tanzanians bwana, they're damn thick.they're scared of changes, quite rigid and in a way thick minded.

    this is all about beauty contest, it's got nothing to do with CCM or CHADEMA.

    let her represent the nation, and i'm if God willing she wins, her critics will be quick to praise her.


    i know tanzanians bwana, it's our nature and really good at it.mimi sioni ubaya akishinda bila kujali rangi yake, ili mradi ni raia wa taifa hilo tuonyeshe ukomavu katika kustaarabika.

    ReplyDelete
  3. Anonymous 5:00:00 AM EAT wewe ni MDOSI, na umefurahi ndugu yako kushinda. WAosha vinywa hawajaamka, ngoja waamke wakute aliyeshinda i huyu sister wako. Hii haikubaliki kanisani wala msikitini.

    ReplyDelete
  4. We anon 5:00 am, Chukua tyme. Huna mpango wala nini. We unaona wabongo woote sio wakomavu isipokuwa wewe? Eti change, change ya.....(hapa siandiki michu atamind)

    na kama ni ubaguzi, wahindi ni balaa tena waliopo Bongo duh! Na hutakaa usikie akijitambulisha yeye ni Mtanzania, isipokuwa kwenye ulaji kama huu.

    Tena wewe,...usinitie hasira zaidi na nilizonazo. Na ningekufahamu wewe, wewe, wewe, weeewe! Ipo siku yako!

    ReplyDelete
  5. Huyo annon wa 10:01 na 10:34,jamaa hata kama ni mdosi kakosea nini?Basi mimi ni black mpingo pure mkaa lakini namuunga mkono,umefika wakati sasa tuamke rangi sio dili na ukabila=ubinafsi hautupeleki popote zaidi ya kutuzidishia umaskini tu.
    Tuamke tumuunge mkono dada yetu huyu na tumtakie kila la kheri huko china kwani hapo anatuwakilisha wabongo wote.
    Mie nipo ughaibuni lakini sishabikii ubaguzi kwani hiyo ni hulka ya mtu na wala usigeneralized eti wazungu/wahindi wote ni wabaguzi,mbona kuna weusi wabaguzi??
    Vitu hivyo jamani vimepitwa na wakati ndo maana akina Obama leo wapo kwenye n/ presidential races.
    Hongera dada kwa kuukwaa umiss Tz.
    CHA CHANDU-UK

    ReplyDelete
  6. yaaani si mchezo! Mimi namzimia sana huyu Mama Mke wa Mzee Kawawa, anamtunza sana Mzee wetu. Huwa namfananisha na Mama Graca Macheli mke wa zamani wa Samora ambaye sasa ni mke wa Mandela jinsi anavyokuwa nae tight!! Keep it up Mama

    ReplyDelete
  7. HONGERA MISS TANZANIA LAITI KAMA MICHUZI ANGENIPA NAFASI NA KUONYESHA BONGO WANGU HALISI, NINGEMTUMIA PICHA YANGU.
    MIMI NI MWEUSI KAMA MKAA NA NAMUUNGA MKONO HUYU DADA KUSHINDA. HAYA MAMBO YA UHINDI NA UWEUSI HAYANA MPANGO HAPA.
    KAMA WEWE UNA MDOGO WAKO, MWANAO AU MTOTO WA MJOMBA WAKO HAKUSHINDA, KUBALINI TU KWANI WASHINDI WAMEPITA KIHALALI NA HAO WALIOSHINDWA SIYO MWISHO WA DUNIA.
    WAKATAFUTE MAMBO MENGINE WAFANYE. HAYA MAMBO YA UKABILA YATAISHA LINI SISI TUSIOKUWA NA MBELE WALA NYUMA?
    WACHINA AMBAO WAMEJENGA UWANJA MPYA WA TAIFA WAKAZAA WATOTO BONGO WANATAKA KUPELEKA WATOTO WAO KUSHIRIKI KWENYE MASHINDANO HAYO MWAKANI. MTAWAKATAA WAKATI SHERIA YA URAIA INAWARUHUSU. KAZI IPO HASA HAWA KINA KINYAMKELA (WACHAWI WEUSI).

    ReplyDelete
  8. jamani mama kawawa kapendeza huyo utafikiri na yeye anashiriki umiss, infact kapendeza kuliko mamiss wote!

    ReplyDelete
  9. Wacheni mambo yenu ya kishamba na yaliopitwa na wakati,kasumba na mijungu.Tumempata miss TZ 2007, kwa kufuatwa taratibu zote husika.
    Richa Adhia ni mzaliwa wa Tanzania na ana haki ya kutuwakilisha katika , kumtafuta mrembo wa dunia.
    Karne hii ya 21 watu hatuangalii rangi, ni mambo ya haibu, tukifuata hivyo Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ufaransa , hatobaki mtu, wote watarudi kwao.

    ReplyDelete
  10. MH SASA HII KALI HAYA HILO TABASAM NDO VP TENA?

    ReplyDelete
  11. WE ARE SOOOO THICK - SELECTING AN INDIAN WITH NO BEAUTY AT ALL - WHERE IS THAT GOING TO GET US??? AND SHE WONT BE SELECTED FOR MISS WORLD AFRICA EITHER, FORGET MISS WORLD!! HAVE WE NO PRIDE? AGAIN, IF THE JUDGES ARE THE LIKES OF KLYN (OR WHATEVER HER NAME IS) IS IT A WONDER REALLY? IS TANZANIA TRULY INTERESTED IN WINNING THIS COVETED MISS WORLD TITLE SOME DAY OR IS THIS ALL JUST A CIRCUS FOR A FEW LIKE MAKOYE TO FEEL IMPORTANT FOR A TIME? WE DONT MIND ANY RACE BE SELECTED BUT THE SELECTION SHOULD BE JUSTIFIED - THE GIRL HAS TO BE BEAUTIFUL - I MEAN LOOK AT MISS WORLD 2001 AGBANI DERAGO - STRIKING BEAUTY! - EVEN TAHT KLYN GIRL LOOKS LIKE A MAID NEXT TO HER - SHOULD THAT NOT GIVE US AN IDEA????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...