MPIRA UMEISHA NA STAAZ WAMESHINDA 1-0 KWAB
BAO LA ABDI KASSIM LA MITA 20 KIPINDI CHA PILI
BAO LA ABDI KASSIM LA MITA 20 KIPINDI CHA PILI
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wameufungua uwanja kwa Neema nafikiri, Sasa itakuwa Kila atakayetia mguu Nesno ni Bao tu. Wamejitahidi vijana
ReplyDeletemaybe wapo few watakao bahatika kupata chance ya kwenda cheza nje ya nchi yetu...msije mkashusha mtu!...it bappened before!...the guy tried bwana!...kaenda pandia ndege zanzibar!...ndege kutua dar wazee wakamshusha wakidai hana kibali or if i remember well 'baraka' za FAT whatever that meant...which profession wanaaga?...doctors?, wachumi?, mafundi?, waandishi?, marubani?, wapishi?, wasomi?, akina odemba?...haagi mtu!...watu wanaondoka kimyakimya...FOOTBALLERS walishushwa!!!...how demoralising!
ReplyDeleteNawapa Hongera Stars kwa kufunga. Lakini sikutegemea wafunge goli moja tu. Hii ni hatari sana inabidi waalimu waangalie. Tukumbuke wale ni Yosso wa Uganda sasa tutaweza kweli kucheza na vingunge????
ReplyDeleteUSHINDI WENYEWE KIDUCHUUUUUUUU. HAYA MICHUZI TUSUBIRI NA HAO JIRANI ZAKO WA KUSINI NAO WATAKULA NGAPI. MAANA TUNAHITAJI MABAO MENGI KUFUZU SAFARI YA GHANA. LAHAULA...TOBA MIE
ReplyDelete