Home
Unlabelled
taifa staaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza, kwanza kabisa hongera Taifa Stars kwa ushindi.pili hizo njumu mbona mchanganyiko wa Adidas na Nike, si wachezaji wanatakiwa wawe kwenye jezi na viatu sawa, au wengine wadhaminiwa na adidas na wengine na nike. Anyways hongereni sana.
ReplyDeleteKama mtoni dadake!! Wametoka pinaaaaaaaa!! More picha michu hii ni wiki ya Staaazzz Umiss tunajua mwaka huu tunyakua U miss world. Kweli wabongu tunakuja putaa!! Ongera Miss!! Ila nakuomba utoe changa moto moja dadangu!! Tangaza hadharani kwamba mchezaji atakefunga jumamosi atakuoa aaah lazima tutashinda nawe utakuwa shujaaa milele!!
ReplyDeleteDu,jamaa wametoka ile mbaya halafu wameiva na wamejaza kidogo mtoni kumbe si mchezo.
ReplyDelete