tano bora ndio hawa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi unaupendeleo mbona hujaweka picha ya yule miss populariti wa voda com kwani ule sio ushindi??? Watu wa Dar inavitabia vya ajabu hasa nyie mapaparazi

    ReplyDelete
  2. wale waliokua wako kwa higher lerning walifika ngapi? Nakumbuka niliona kama wawili na mmoja alikua Miss UK

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli labda shindano lao lilikua zuri lakini nguo mbaya.....Mbaya saaaaaaaaaaaanaaaaaaa

    I feel so bad for them. Kuvalishwa gauni sijui oversize..mbona nguo ni kila aliyevaa ina maupungufu yake?

    Huyo aliyewashonea angewapa style ya nguo kutokana na body zao. Wengine wameonekana wana matumbo, wengine mahipsi yametoka na wengine matiti yamenyonywa ouch....yaani shida sana

    Hata kama designer ana style zake kichwani lakini ajaribishe kila mtu aone itamkaa vipi..

    Wengine wamepoteza ushindi kwa vile manguo hayo yamewatoa vibaya. Na hata hiyo color wengine itawang'aza na wengine itafanya waonekane wabaya.

    ReplyDelete
  4. Jamani huyu miss TZ hastaili kabisaaa..pamoja na kuwa mhindi hana mvuto chembe..au wanalipa fadhila za kina patel? hata hivyo wangetafuta watoto wa kihindi wazuri huyu mbaya..mtoto hata akicheka hapendezi!!!Akicheka kama analia!!..mmmh mmechemsha mwaka huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...