CLUB AFRIQUE PRESENTS THE AFRICAN STARS BAND(TWANGA PEPETA)WITH THEIR FAMOUS "MUGONGO MUGONGO" STYLE LIVE AT THE FULLY AIR-CONDITIONED VENUE 147 BARKING ROAD E16 4HQ CANNING TOWN TONITE SUNDAY 2/09/07 FROM 7 PM TILL 5AM ENTRANCE FEE: GBP 10.00.
THIS IS THEIR LAST SHOW IN THE UK THAT U CAN'T AFFORD TO MISS.... KARIBU WOTE
THIS IS THEIR LAST SHOW IN THE UK THAT U CAN'T AFFORD TO MISS.... KARIBU WOTE
Picha za mashindano ya miss tanzania please !!! ni vema tuone walivaaje kwa ujumla kama ukiweza hata tuwekea video.
ReplyDeleteMICHUZI NA BEN KISAKA WAKO MNATUCHANGANYA HASA SISI TUNAOWASUBIRI HAO TWANGA HUKU ROTTERDAM.
ReplyDeleteHIVI JAMAA WAMEKUJA FULL NONDO AU WANENGUAJI NA RAPPER WAO MMOJA HUKU MUZIKI UKIWA NI KUPIGWA KWENYE CD?
KWA SABABU KATIKA SHOO ZAO ZOTE ZA UK, SIJAONA MPIGA SOLO AKINA SHAKASHIA, DRUMS, HATA WAIMBAJI SIJAMWOMA HATA MMOJA. SASA TUELEWE VIPI KWAMBA BENDI HII HAINA HAO WACHEZEA MIPINI WAKATI KILA MARA ULIKUWA UKITUONYESHA PICHA ZAO WAKIPIGA KULE BONGO?
NIMEULIZA KWA SABABU NISIJIMWAGE UWANJANI NA KUWA MATUMAINI YA KUWAONA WACHARAZA MAGITAA KWANI MIMI NDIYO SHETANI WANGU ALIKOLALIA. HAO WANENGUAJI MIMI HAWANITII HOMA WALA MCHECHETO.