kila mmbongo amekuwa mzalendo baada ya taifa staaz kuwa kipenzi cha karibu kila mtu kiasi hata ushabiki wa klabu umesahaulika kiasi. yaani siku hizi kila mtu ni staaaz...inatia raha kwa keli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michu huyu sio severin mshana? jamaa nimempoteza miaka mingi na nimefurahi kumuona anaishabikia staaaz.
    Mdau-usa

    ReplyDelete
  2. Nimemwagizia shangazi yangu anitengenezee shanga za kiuno zenye rangi za kitaifa.

    ReplyDelete
  3. Mkuu dudu washa upo Da long time mzee Severin mshana.Umezeeka kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...