Home
Unlabelled
victoria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Joket kwa kazi nzuri uliyofanya kwa mwaka mzima. Pamoja na kwamba walikubania kuwa Miss Tanzania lakini bahati ya mtu haizibwi hapa duniani. Tumekuona jinsi ulivyofanya kazi ya uhakika. Hongera dada!!!
ReplyDeleteDear Victoria, kwenye kujibu swali ulikariri nadhani, sasa umepata bahati ya kuwa miss Redds sasa dada fanya kazi kwa bidii, tunza heshima yako ipasavyo na hakikisha uzuri wako uwe kwa manufaa sio tukuzike kwa mambo hatari. Hongera sana na tunakutakia kila la kheri tutakuunga mkono
NAkukubali Victoria U deserved more than that!lakini tutafanyajre sasa wakati,kila kitu kiliandaliwa na wahindi kuanzia kupamba Valley spring,nguo Mustapha,muwakilishi Voda Muhindi,Planetel ya wahindi,shivacom ni wahindi..yule Judge who was close to miss World 2001 Muhindi..so was planned thts why there was a lot of Wahindi.Inabidi tuanzishe Miss tz nyingine..Mzawa
ReplyDeleteMimi ngoja nitoe kwenye ubaguzi jamani huyu msichana ni mzuri sanaaaaa kwa warembo wote mwaka huu sasa hata kama hakujibu swali vizuri kwanini asinge kuwa trained im so up set kaka michuzi sio ubaguzi tunaongelea urembo huyu miss tz sio mbaya ni mzuri sana tu ila kapitwa sana na Victoria Martin basi lakini.
ReplyDeletejamani msimuonee vicky kwanza nampongeza sana kwa kushinda taji hilo hongera vicky umeturepresent tanga na mtaa wetu usagara vodacom,vicky sio muhindi wala nini ila ni ana damu ya kitaliano na kigermany lakini hiyo ni kawaida ya watu wengi wa tanga kwa hiyo msimuonee kabisa yeye ni mzawa wa kweli na hata babu yake mzee hans ni mzawa,pongezi vickyyyyyyyyyy.mohd sweden
ReplyDeleteAna vigezo vyote ila kilichomponza huyo Vicky ni kukariri majibu. Alikariri majibu ila si mbaya kuliko huyo GABACHORI RICHA!!!
ReplyDelete