Home
Unlabelled
wazekwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashindano ya mwaka huu maandalizi ni ZERO huyo mwanamuziki ni Bomu la machozi hakuna hata bendi ya kufananisha nae ya hapa bongo.
ReplyDeleteKwa ujumla walitaka kutuonyesha mshindi ni nani kwani kila kitu nusu ya waburudishaji ni kutoka nje ya nchi. Only vijana wa Tanzania House of Talents ndio walitoka Bongo.
Pili huyo Mkongo walimpa karibu dakika 50 kuonyesha Sebene "kenge" hakuna mfano. Kweli poleni mliotoa 75,000 kwa uchafu ule wa jana usiku.
Nae MC wetu Mr. Taji Liundi alipendeza ila, alikuwa anatoboa siri ya mrembo ni nani sijui makusudi au hakujua? Maana kila dakika ...."mashindano ya mwaka huu ni kila kitu cha kigeni ambacho hakijapata tokea..." Maana yake hata Miss sio mbantu tena ni Mdosi!!!!!!!! ASANTE MR. LIUNDI ulinifanya nikalale mapema kwani nilijua mshindi kitambo.
KAMATI ya maandalizi tafadhalini dumisheni vipaji vya wasaniii wa Bongo.... Bora hata ngewaweka akina Ze Komedy, kama hao wanabongo flava wananyodoa nyodoa
Ni kweli kabisa mdau hapo juu. Yani mshindi alijulikana maema mana kila saa Taji Liundi alikuwa anasema "leo mtajionea utofauti" na kweli mhindi!? sikuona lolote la ajabu aliloongea tofauti na yule mbantu mwenzetu lilian abel alistahili kushinda kabisa lakini wakaona wampe mhindi. Shame on them sitegemei kuna siku Mtanzania atashinda Miss india hata afanye nini. Nilimuona Hoyce Temu akilia kwa uchungu kwa matokeo hayo kuwa hayakuwa ya haki. Na huyo Wazekwa ndiyo kabisa alichemsha sana yani bora hata Twanga pepeta wangetumbuiza au wazee wa ngwasuma.
ReplyDeleteMdau.
na hawa MA-SRILANKA AU?? MACHO YANGU
ReplyDeleteMBONA TWANGA NAYO WANATUMIA SIIDII HUKU UGHAIBUNI NA MBONA HAMUWAKANDII? AU UNAJIFANYA HUNA HABARI WAKATI ULITANGAZA KINAKUJA KIKOSI KIZIMA AKIWEMO ALI CHOKI?
ReplyDelete