wikiendi hii nimebahatika kugongana na wadau kibao toka ughaibuni ambao wako bongo kwa mapumziko mafupi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Naona mzee Kapinga pozi nene sana na mawani yako hehehe..wape bia sanaa mnooo...D b/ham

    ReplyDelete
  2. SIMU ZA VODACOM ZINAMATATIZO YA NETWORK KWA MUDA SASA HASA UKIWASILIANA NAO KUTOKA U.S.A. CAN VODA FIX THIS #$%^&#(*&HIT

    ReplyDelete
  3. Mtwa, kwa pamba nimekubali.

    ReplyDelete
  4. naona misoup unatubadilishia style sio,badala ya mikonoz sasa unaleta midolez,sawa baba kip it up!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. michuzi tunaomba uache shuguli zote, hufuatilie hii tv na redio ya tido muhando,tunaomba update,amekwama wapi? au kama kawaida ya motherland ni mkataba hewa

    ReplyDelete
  6. katika vitu vinavyoniboa ni kubabaikia watu wabeba mabox au wanaandika comments wakiwajitamulisha wapo mtoni.yaanni michuzi unajikomba sana kwa hawa wabeba mabox.na hii ni kasumba mbaya sana.kwanza maoni yetu mengi unayatia kapuni najua na haya utayatia kampuni lakini sijali ujumbe umefika hata ukiuchunia.jirekebishe acha kuwababakia watu wanabeba mabox ulaya jitahidi uwe unaandika na habari zetu sisi wa huku manzese na tandale.

    ReplyDelete
  7. Bwana Misoup huyo jamaa aliye sema una babaikia wabeba box is not normal at all,hajui wewe na hao wabeba box mnajuana vipi?Wat if some of them are your friends?Na kubeba box sio dhambi everyone got eat so he needs to back off,sasa anataka uandike habari za manzese au tandale,wao wanabeba nini sasa huko?maybe crap.....kuwa na heshima na watu sio unaita watu wabeba mabox while u know nothin bout them...zip it

    ReplyDelete
  8. Tarehe September 11, 2007 11:07:00 AM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous

    Pole sana kwa yanayokusibu! Wengine wanaendelea na maisha yao, iwe kubeba mabox au briefcases!!

    ReplyDelete
  9. Kibacha upo mbona umeadimika ka matako ya nyoka.

    ReplyDelete
  10. Wabongo kwa wivu hawajambo. Hivi jamani kila anayefanya kazi mamtoni anabeba maboksi? kwa fikra kama hizi JK ana kazi. Watu kama hawa wataleta mawazo ya maana kweli kuchangia maendeleo ya nchi hii? Hii blogu kwa kweli inatupa taswira halisi ya bongo mbalimbali tulizonazo hapa bongo. Researchers mko wapi jamani? Hii blogu inatosha kuwapa data kufanya tafiti zenu huna haja ya kwenda field, kazi iliyobaki ni analysis tu na Literature, Methodology ni Michuzi's Blog! Wanawani mpooooo!

    Michuzi huna haja ya kuchuja maoni ya wadau inatia raha kujua jinsi tunavyotofautiana. We rusha kila wazo bora si tusi.

    ReplyDelete
  11. Halafu we misupu mko kwenye shoo au? wala hamlipi! Kwanza we Misupi hatuchemekei shati hivyo!! Mshikaji we mwenyeji wa wapi? Mkara au? Wataanza kusema ni ubaguzi wa kikabila.

    Kwanza mnajua Miss TZ 2007, mpenzi wake au mchumba wake ni mgosi? Anaitwa Nicholaus Shemahonge. Sasa mnambagua wa nini, tayari shemeji yangu. Kama nyie wengine midomo yenu mizito kutongoza wahindi ni nyie, wengine tunawapiga shule na wanaingia laini kama kawa!

    ReplyDelete
  12. Kaka Papii na suti umetoka bomba sana ni mimi bi D & G (OH)

    ReplyDelete
  13. Mnyalukolo, penyewe hapo una moyo wa kuvaa shati la pink! Metro sexual at its best - veve jiangasule tu, veya!

    ReplyDelete
  14. Kaka Michuzi mimi nimemzimikia mwenye linen nyeupe ameoa please niambie. sijui atanipenda.

    ReplyDelete
  15. He is very married my dear.

    ReplyDelete
  16. Mliakuvana, hilo dongo ndugu yangu, haipendezi kabisa, Mtwa huwa hakosolewi.

    ReplyDelete
  17. We anony wa 8:52 nani kakuambia wabongo wana wivu na wabeba maboxi? wengi walioko mamtoni ni wabeba maboxi, waosha vibibi, mgambo na wauza pizza. Kinacho tuboa ni wakija huku bongo wanajifanya wamesahau maisha ya huku home na kujishaua utasema wanaishi peponi huko walikotoka.

    Kwa mfano, juzi tumeenda kwenye harusi ya rafiki yetu, kwa bahati mbaya meza nilokuwa nimekaa alikuwepo mbeba maboxi mmoja, naye alialikwa kwenye hiyo harusi. Kabla ya chakula, akaenda chooni, aliporudi mezani akaanza kulalamika jinsi gani wabongo tusivyothamini usafi na kujua ubora wa huduma za ukumbi na hygiene. Eti tu kwa vile choo alichoingia hakukuta TOILET PAPER! Na hakuna 'Liquid soap' ya kunawia mikono sinki ya chooni.

    Haikutosha akaanza kulalamika kuwa alienda kwenye bar moja huko mjini hakukuta toilet paper chooni pia na akaendelea kusema alienda kumtembelea mtoto wa kaka yake shuleni hakukuta toilet paper chooni na hali shule inaitwa international school. Wote tuliokaa katika hiyo meza akatuboa sana, hasa kwa vile time ya mlo ilikuwa inakaribia. Akaendelea bla bla bla, i'm from madongo kuinama USA....

    Mimi binafsi niliona nihame meza tu kujiepusha na kulalamika kwake kuhusu nchi yetu na watu wake. Cha ajabu, tena naamini 100% mama yake mzazi anishi Mtwara au Makambaku, tena kwao hakuna toilet paper chooni. Au tuwaulize wote mnaoishi huko mamtoni, bibi zenu na mama zenu huku nyumbani wana toilet paper vyooni 24/7??? Au wanatumia maji tu?! Halafu cha ajabu shule za msingi na secondari walizosomea hao wote wabeba mabox kabla hawajaenda huko majuu kulikuwa hakuna toilet paper chooni, waliosomea Tabora boys, Jitegemee, etc.. kuna shule gani ya serikali au hata private ina uwezo kuafford toilet paper kila siku? Sasa iweje waponde maisha ya huku home na hali ya kuwa wamepitia huko huko. Ndo maana na sisi huku home tunaendelea kuwadharau na kuwaponda kuwa wote ni wabeba mabox (japo najua kuna washikaji zangu na jamaa zangu si wabeba mabox...).

    Mpaka hapo mtakapoheshimu nchi yetu na wananchi wake. Hasa kulingana na hali halisi ya maisha yetu, kipato chetu, nasi tutawaheshimu na kuwaita mabalozi wetu au mapedejee au jina lolote mtakalochagua wenyewe tuwaite.

    My point, 'when you are in Rome, do as the Roman's do', msije huku home mkaanza kutuponda ponda na kujifanya nyie ndo mnajua usafi na ustaarabu. Mkumbuke mlikotoka jamani. Na pia msiwasahau bibi zenu vijijini watumieni japo toilet paper!

    ReplyDelete
  18. Anon September 12, 2007 4:18:00 kwa kweli umeongea vizuri sana mimi ni mbeba maboxi lakini saa ingine binadamu unatakiwa uchague nini cha kuongea mbele za watu sasa watu wengine wanaropoka tu mshamba huyo msamehe bure

    ReplyDelete
  19. Jamani mimi nimechoshwa na hizi assumption kwamba watu tulioko nje ya nchi tunabeba mabox.Some of us tumekuja kusoma tumemaliza shule na tuna kazi with our lines of education.Fanyeni uchunguzi kwanza kabla hamjaropoka. na hao wanaokosoa vyoo kwa vile hamna toilet peaper has nothing to do with living abroad.mtu mwenye akili timamu hawezi kulalamika kwa issues kama hizo. wewe uliyeandika comments ndefu hapo unaonelkana una jazba la shida za afrika.Pole ndio hivyo aliyekunyima wewe ndio aliyetupa sisi wenye elimu zetu na tunaishi comfortable abroad. Stop HATING and generalization.

    ReplyDelete
  20. We anony wa 1:28 nani kakuambia wasomi ni wale walioko majuu tu?! Kikwete alisomea Marekani, UK au UD? Kwani kusoma nje ya nchi ndo unastahili kuitwa msomi?

    Bongo tuna maprofesa na maengineer wa kimataifa.

    Nyie wote mlioko nje ni wabeba maboxi. Generaly wote mnashida kuliko tulioko huku Afrika. Nampongeza huyo aliyeeleza mnavyo penda toilet paper. Aliyetupa sisi, ndo kawanyima nyinyi wabeba mabox na wanaunua vitu kwa mkopo. Mpaka nyumba zenu mnalipa kwa mkopo. Mimi sidaiwi kitu, kila kitu nalipa cash!!!

    ReplyDelete
  21. Hawa wanyimwa Visa wanajaziba sana na sisi umegundua lakini anyway kazi kwenu tafuteni huko huko bongo siku moja mtafanikiwa acheni jaziba sisi tunapetaaaaaaa na mabox na wengine tunamakazi mazuri tunaheshimika sana hela nzuriiiii mimi hela ni nayopata in a month nyie ni mshahara wa familia nzima mienzi 6 kwa hesabu za haraka hakara

    ReplyDelete
  22. Kwanza bongo hatutumii toilet paper. Huku tunatumia maji kujichamba. Toilet paper haimalizi uchafu, na kwa joto la bongo utanuka mavi kama utakuwa unatumia toilet paper. Huku tunatumia maji, kuna vyoo vichache sana havina maji. Yumia maji ukitaka kuwa msafi. Mazingira yanatofautiana.

    Hao wazungu mnaowasema ni wachafu kuliko sisi wabongo, mzungu anaoga mara moja kwa wiki wakati sisi tunaoga mara mbili kwa siku hata tukiwa Ulaya, kweli tutafanana? Sisi wasafi bwana, wazungu wachafu wanafikiri rangi yao ni usafi lakini wachafu.

    ReplyDelete
  23. HAYA WANDG HUU SIO UWANJA WA DEBATE! TOA COMMENT SIO KUPONDA WATU! TATIZO NAKUBALI WABONGO TUNA MATATIZO SANA HUYO ALIYEANDIKA MSG YA JAZBA AM SURE KM HAKUPIGWA "PI" HUKO MAJUU BASI ANADEMU ALIENDA KUSOMA KAMTOSA AU NIWALE WALIOVUNJA MABOMBA NAKUCHAFUA NA KUIBA UWANJA MPYA. KWAKWELI LAZIMA KWENYE HAYO NILIYOTAJA ATAKUWEMO NA TENA ATAKUWA HANA SHUGHULI YA KUFANYA. YOTE NI MAISHA ATA KM ANALEA WATOTO, AU KUBEBA BOX YOTE NININI.....MAISHA! NDIO ALIYOCHAGUA. SASA WEWE UNAPOTEZA MUDA WAKO KUJIBISHANA UNANG'ANG'ANIA WANABEBA MABOKSI KM WEWE ULIBEBA C WEWE! NACHOPENDA KUKUAMBIA SIO WOTE WABEBA MABOKSI NAPILI WENGI WALIOOVERSTAY NA MUDA WAO UMEISHA KM WEWE MWENYE UCHUNGU NDIO KAZI ZAO HIZO NA TENA ATA AKIPATA MSIBA WABABA AU MAMA HAWEZI KURUDI ANAISHI KM MFUNGWA MAISHA YA KUJIFICHA, KUPIGA MIZINGA WENZAKE WANAOFANYA KAZI,ATA MBONGO UKIENDA KUTEMBEA WANAKUOMBA UWAACHIE ATA JEANS ULIYOVAA, WENGINE ATA PAMBA ZA PICHA NIMIAZIMO MITUPU! HAWANA UHURU ATA KIDOGO BAHATI MBAYA UKIBAMBWA KWNY TUKIO LA UHALIFU NDIO UNARUDISHWA KM WEWE! LAKINI WAPO WENYE ELIMU YAO WANAFANYA KAZI ZAMAANA HUKO. SAHIHI USEMI WAKO USIWE NA JAZBA KIASI HIKO WEWE!

    ReplyDelete
  24. Bro misource! umenikumbusha mbali na hao wakaka hapo! juu nimefurahi kumuona Kibacha! Duuh Kibacha Kibacha huko wapi? enzi za Kwanza unit! enzi zenu mmetusumbua sana mademu wa mitaa ya chini leaders! Nawakumbuka Kibacha, Makili jenge, Omary Mandary, Imma Mmary, Rashid Mchujuko, Iddy Janguo, Said Janguo, Potto,Maxi Kafipa, Haji duuh sio siri ndio vijana wamitaa ye2 enzi zao... sasa hivi naona washakuwa watu wazima, Naona ata kibacha akisoma hii email lazima atacheka atakumbuka enzi zake zakudundika bega moja juu chini..haaa haaa haaa! kweli zamani ni zamani! wako wapi Stanley Kibacha na Nampombe? tumewamiss mtaani! mliondoka km mvua! kila lakheri. sista duu wa enzi zenu!

    ReplyDelete
  25. Anon September 14, 2007 3:59:00 umenikumbusha mbali sanaaaa enzi zile du tunisia,O bay, masaki wakina muddy kibega nilikutana nae mbezi siku moja ameoa yaani nilitamani sana kucheka.zamani ilikuwa raha sana inabidi tufanye obay masaki tunisia,ada estate reunion watu tukirudi bongo itakuwa raha sana hivi wakina kibacha walikuwa wanakaa leaders sio pale tunisia?karibu na kwakina helen mnyoo

    ReplyDelete
  26. Nyie wabeba maboxi msijipandishe chati kwa kujisifia vitu vya owongo. Eti mko COMFORTABLE. Hamna lolote! Mna njaa kuliko wasudan! Hata upate mshahara mara 100 ya kwangu, bado living cost yako iko juu. Huna hata $100 wala hujawahi kuiona mkonononi. Unadaiwa mpaka chupi. Rudini jamani home, ili mpate nafasi japo weekend kwenda rose garden kula nyama chona na kabia!! Mnatia huruma jamanai wabeba mabox!!! Wote ni wabeba mabox, hivyo wadanganyeni hao ambao hawajawahi kuja kuwatembeleeni na kuwaona mnavyoishi. Wotewote mnatia huruma!

    ReplyDelete
  27. Wewe unayeponda wabeba maboksi wakati huwa watu wengi sana wanaomba hela kwa hao wabeba maboksi na sidhani kama kuna wabeba maboksi wanaoomba hela Bongo kwa sababu wanajitosheleza wenyewe hata kama ni maboksi ila huombi hela kwa mtu na unaendelea na maisha yako wewe uko Comf kivyako. Sio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...