siku hizi wala usihofu. ukija na mtoto wa umri wowote neshno hakuna noma wala nini...hata kama mai waifu wako hataki kuja kuangalia gemu poa tu. huyu dogo ndiye aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote walioangalia...opps! samahani..., waliohudhuria mchezo wa kwanza kufanyika wanja jipya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ahh, so cute, look at the tiny tot.its so refreshing to see ppl go out there and enjoy some footie.

    ReplyDelete
  2. shehe wakati bao lashangiliwa hakakushtuka hako?

    ReplyDelete
  3. Mzizi si bora kasituke, Ngoma Jamaa "angepandisha mdadi kama anarusha mpira vile" ingekuwaje?

    ReplyDelete
  4. ingebidi wamape ticket kama kumi za bure za michezo ijayo. Uzalendo wake umenifurahisha sana

    So cute

    ReplyDelete
  5. Ni jambo la kutia wasi kumpeleka mtoto mdogo hivi mpirani,lakini kama mambo ni hivi sk hizi Bongo basi ni heri.Inatia furaha sana kuona huyu baba na ktt chake,kuona uwanja mzuri hivi, parking area na hasa jinsi wabongo wanavyojivunia Taifa letu:Hebu tazama rangi za bendera yetu ilivyo nzuri..Mungu ibariki Tanzania na watanzania wote popote duniani.Lovely,lovely lovely..Go Bongo...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...