
mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano profesa john s. nkoma akimtunuku leseni afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya kisasa inayotoa huduma za mawasiliano ya mtandao wa intaneti isiyoungnaishwa na waya iitwayo wia mh. eric b. mwenda muda mfupi uliopita.anayefurahia kwa pembeni ni mh. mugasa mwenda, meneja wa maendeleo ya biashara ya kampuni hiyo yenye makao yake kwenye ghorofa ya pili jumba la benki ya barclays mtaa wa ohio. wia inashirikiana na motorolla katika vifaa na pia teknolojia ya canopy inayotumika nchi nyingi kwa mtandao wa fasta fasta


Haya na mugasa nae vipi mambo yamekuwaje umevuta shavu hivyo mambo mazuri sio erick sasa ujana umemwisha afadhali du eheee kila raheli wandugu
ReplyDeleteTizii siku hizi kila mtu jina linaaanzaaa na mh.?
ReplyDeletealexandria,VA
Kama Michuzi hebu niulizie, huyu kijana Alex ameoa ama bado uniunganishie? Kama bado Michuzi fanya kweli basi, mwambie anicheck kwenye Voda akinikosa basi ajaribu Tigo.
ReplyDelete