Habari yako Kaka Michuzi,


tunakupa hongera sana kwa kazi nzuri yakutujulisha yanayoendelea home. Eid Mubarak kwako na kwa wadau wooooooteeeee.....


Wadau wa Bangladesh

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. aisee, wabongo nasi tumetapakaa duniani.

    ReplyDelete
  2. waonyeshe hii picha wadosi ...wasisahau walikotoka....waache kutunyanyasa kwetu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...