Wadau Malilo na mama courtney kutoka Delaware USA tunawatakia waislam wote duniani Eid mubarak. Pichani ni Malilo, Stewart, Courtey wakiwasalimia rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa na mama Anna Mkapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi tuweke wazi, nasikia SISIEM imewavua uwanachama wabunge wa Arusha kama sadaka ya Eid Mubarak.

    ReplyDelete
  2. Duh, Mkapa anazidi kuwa handsam. Ukikutanae night ya kiza tololo unaweza kuingia mitini, kwa kufikiri labda umekutana na mzuka fulani wa kale.

    ReplyDelete
  3. njomba nkapa hilo koti lako mie hoii!!

    ReplyDelete
  4. ACHENI USWAHILI

    ReplyDelete
  5. Malilo loong tym Maryland na akina Murtaza mangungu! mambo vp?umehamia Delaware?

    ReplyDelete
  6. Malilo naona mambo mpwito-mpwito, tena waa waa wa naona hutaki mchezo ukampa Mkapa sera za Temeke Stereo!! kha we kweli wa Kibasila, hapa amekosekana Ndugu yako Alune tu; Mkapa Angewaachia pesa zote kwenye brief case yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...