waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa rais (mazingira) profesa mark mwandosya (shoto) na waziri wa sheria na katiba dk. mary nagu wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya bariadi mh. baraka konisaga wakiongea baada ya mkutano wa hadhara leo huko bariadi katika moja ya ziara za mawaziri kutembelea kila kona nchini kuelezea wananchi juu ya bajeti ya mwaka 2007/2008 pamoja na kuhimiza maendeleo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi, mbona Mzee Makamba hapo kati kati umemsahau?

    ReplyDelete
  2. HAWAKUZOMEWA???!!...mana siku hizi tumefikia kuwazomea!!...we have had enough...kuna siku moja WAZIRI MKUU ngoma ikawa nzito akasema "SHAURI YENU WENYEWE NA MBUNGE WENU"!...if i am not mistaken it was in longido or monduli...whatever

    ReplyDelete
  3. yani huko ndio nyumbani kwetu wantuzu.....

    ReplyDelete
  4. MWASEKE EEE ALIYEZOMEWA NI MHESHIMIWA ERNEST MABINA MBUNGE WA
    GEITA-MWANZA NA SI VINGINEVYO REJEA
    http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/09/24/99021.html
    MIMI NAONA SAFI SANA DAWA NI HII
    KAMA MTU ANAJISAHAU WAJIBU WAKE.NA
    WEWE MISUPU UKIOGOPA KUTOA HII
    NTAKUONA BONGE YA MUOGA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...