MIMI NAITWA HAJI MOHAMED MAHMOUD NI MWANA BLOG HUKU BOSTON NAWATAKIA EID NJEMA WADAU NA WAISLAMU KOTE DUNIANI NA INSHALLAH MUNGU AJALIE FUNGA ZETU ZIWE ZENYE KUKUBALIKA....

AMEIN!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. picha ya juu inatosha sasa kuweka ya chini na simu na gazeti kama vile ur a stock broker ndio nini? ...acha hizo waachie washamba wenye kutaka kujionyesha....

    ReplyDelete
  2. Hji uko majuu fanya mpango wa hizo chunusi usoni basii.

    ReplyDelete
  3. Mwacheni jamani kwani ushamba kazaliwa nao. Hivi mpaka asemem jamani hiyo suti kaazima kwa ajili ya Eid Mubarak na ameamua kuwaonyesha mapema ili mumzoee kwamba hata yeye siku moja moja anaweza kutinga ndani ya vazi hilo. Mpanga maboksi huyo.

    ReplyDelete
  4. Mshamba ajifichi Duuu. Hata USA bado ushamba tu ama kweli watu wa Boston mna kazi

    ReplyDelete
  5. the baby is cute, i like her! Idd njema

    ReplyDelete
  6. Huyu ana undugu na obama nini mbona wamefanana hivyo..I almost thought it's Obama...aha aha...big ups:)

    ReplyDelete
  7. Duh kumbe hata Country Code +1 washamba wapo nilizani +255 na kwingineko tuu!!

    ReplyDelete
  8. Huyu Jamaa anaonekana mtu mzima lakini matendo yake na umri haviendani pili, next time usi showoff na simu ya mshindi na uko states na hayo magazeti yako ya job opportunites na suit za walmart.Grow up Bro

    ReplyDelete
  9. mshamba pure and simple!

    kama anashoot film vile, inaonekana kabisa viwalo vimetingwa sio kimazoea ni kupigia picha tu...

    ReplyDelete
  10. Wabongo bwana sijui tatizo letu ni nini...kwani kuna ubaya gani kuwa na gazeti na simu? kama ni stock broker wewe inakuhusu nini?

    Ama kweli no wonder hata rais wetu anapewa hundi feki naye anashangili!

    ReplyDelete
  11. Duh!! Hiyo MOTOROLA mbona ya zamani sana... 1996 huku Bongo...

    ReplyDelete
  12. Lakini Haji mbona koti ni kubwa? hakuna saizi yako kweli? Au kwa vile hiyo ndio rangi unayoipenda basi na size hukujali!
    EID NJEMA.

    ReplyDelete
  13. Jamani mi ni hako katoto tu! Duh, ni kazuri ajabu! Mdau kama huyo ni mtoto wako basi wee ni dume la mbegu! Naomba nidediket wimbo unaotamba huku bongo wa "nataka nizae na wewe" kwako. EID NJEMA.

    ReplyDelete
  14. Watanzania bwana kwa roho mbaya ndio maana hatuendelei, sasa kuna ubaya gani kwa jamaa akipiga picha namna hivyo?

    Swali hivi angetokea mzungu kapiga picha zote mbili kama zilivyo na akazituma na michuzi kuziweka kwenye blog kama zilivyo wangetokea waswahili na kuchonga kama mlivyo msakama huyu jamaa?

    Tuwe na mawazo mazuri ktk kujenga Taifa letu maana mawazo haya mabaya ndio mwanzo wa chuki zisizo na maana na ni sumu ktk jamii yetu hii ya Kitanzania na yataturudisha nyuma ktk maendeleo.

    Wote mlio toa maoni mabaya na chuki kwa huyu jamaa muone aibu na mfikirie kubadilika kwa maana maisha sio hivyo.

    Nawaonea huruma kwa maana kuwa masikini sio tu kuwa masikini kifedha bali unaweza kuwa masikini wa kimawazo, akili, n.k

    TuPeNdAnE.

    ReplyDelete
  15. hahahahahaha,kweli anon hiyo simu ni ya kizamani sana hakuna kampuni ya simu ambayo bado inauza simu za aina hizi. ha haha haha ahaha

    ReplyDelete
  16. Hiyo simu lazima itakuwa antique

    ReplyDelete
  17. Duh jamaa anaongelea sabuni ya Mshindi..? Au mamcho yangu? si utani..kwenye wabongo tuna shughuli sasa hizo chunusi si utumie hiyo sabuni ya mshindi kuziondoa?

    ReplyDelete
  18. duh huyu jamaa kama kweli ansoma hizi comments,nafikiri hatarusia maana cha moto kakiona ,haya maneno bora mnemchapa viboko maana ni makali mno.duh waungwana!!!

    ReplyDelete
  19. Can someone say PRO-ACTIV......Kaka yangu kuna dawa inaitwa ProActiv...unaweza ku order at 1 (800) 876-9717.
    Manake uso kama fenesi....na upo US of A ni aibu wangu.

    ReplyDelete
  20. Baba proactive at 1 (800) 876-9717. call them quick....ni aibu wangu

    ReplyDelete
  21. Aisei kaka Mohamed uingie kwenye ile Celebrity Look alike contest hapa Boston Fox 25. Kwa kweli umefanana na Obama.

    ReplyDelete
  22. Ah, wapenda vya kisasa ningawa hawavitengenezi! Ndio maana hatuendelei1 Kila siku kuchuchumilia "the latest model"!

    ReplyDelete
  23. Aisee wabongo siwawezi!!

    ReplyDelete
  24. Yaani hata sijui alipata wapi mawazo na kuona hizi ndio picha zifaazo kujitoa huku.Hivi uoni haya?Uso kama ukuta wa chumpin'g.
    Haya IDD Mubaraka na suti yako ya charity

    ReplyDelete
  25. Bwana Michuzi hata kama comment ni mbaya namna gani (ili mradi haitukani mtu) weka bwana, maana kama comments hizi hapa, mimi zimenisaidia kujua ProActiv niipateje. Asante wandugu, ila msinichanganye na mhusika wa picha hizo, najua yeye anajua, mie niko mbali na USA bwana. Asanteni sana wadau...Ila punguzeni vitusi basi! Hatahivyo naamini wanaoweka picha zao humu wanakuwa wamejiandaa kwa lolote, maana mwoga unaanzeje kutuma picha kwa Michuzi?

    ReplyDelete
  26. nyie mnaomsema mwenzenu ana chunusi siajabu nyinyi zimewajaaa mpaka mgongoni, acheni kumshambulia mwenzenu, au mnawivu?????????????????

    ReplyDelete
  27. labda hayo machunisi yanaletwa na mafuta aliyopaka ya nywele "kalikiti" they call it waves, maana hiyo soksi aliyovaa kichwani ni ya ku protect nywele ukilala, na picha inaonyesha ni usiku, hivi kwani chunusi haziambukizi? maana uso wake umemgusa hako katoto karembo jamani, next time wear foundation before u publish ur photos!!! u live in the states!!! aaaargh

    ReplyDelete
  28. BASI JAMANI SI MUMUACHE BROTHER WA WATU MMESHA MSEMA VYA KUTOSHA...LETS MOVE ON KWENYE ISSUES NYINGINE NZITO HII HAITUSAIDII...GHOOOSH!. WENGINE HAPA MNAMPAKA MSHKAJI NYIE WENYEWE HEBU KWANZA AANGALIENI PHOTO ALBUM ZENU!

    ReplyDelete
  29. Aaaagh wabongo hata kama kumkosoa mtu hii sasa imezidi, si ajabu wengine humu humu sura kama nungu nungu tunajificha na Anon, jamaa kajitosa kwa picha na jina lake hadharani.....Nafuu da Chemi katoa mchongo wa look alike contest....kamua tu, kila mtu na maisha yake!Eid Njema mdau

    ReplyDelete
  30. Hivi wanaume wakieka picha zao wao hawatafuti wachumba au ni wanawake tu ndio wenye shida? Sioni hata mwanamke wa kuomba contact za wanaume wa humu kwa Michuzi. jamani wanawake single huko Boston hamuoni hii. Profeshonal here...brother he got a J.O.B..kwanza sio ya kubeba box. Box na suti haviendani.

    ReplyDelete
  31. duh!wabongo mnatisha hiyo picha nilipita siku kadhaa mwnzo kabisa ndio naingia usa nashukuru kw amaoni yenu mazuri na pia wale wenye wivu wajinge mimi ni obama bwana ok eid njeme wadau

    ReplyDelete
  32. Tuache yote jamaa ni handsome, yani anani datisha i wish ningemjua, yani yuko alright , ila hiyo uso tuu, lakini sio mbaya akitumia ProActive tuu zitakwisha au ajisafishe kw apamba kila usiku,chunusi zitakwisha.
    Kuhusu kushika hiyo simu na kuvaa suti haimtoshi na dhani watu hamja muelewa huyo amefanya kichekesho makusudi ili watu mcheke ,sio kama kweli ndio anavyo vaa.

    Michael ,Upanga ,Tanzania.

    ReplyDelete
  33. Kwa Tarehe October 11, 2007 7:44:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
    *********************************
    information ya ProActiv namba ndio hiyo na website yao ni http://www.proactiv.com
    Mimi si uongo nilikuwa na machunusi mabaya ...sasa huwezi jua ..in a month yote yana clear.

    ReplyDelete
  34. goma ADOBE hiyo

    ReplyDelete
  35. ndugu yangu anonymous wa 12,2007 4:03:00 PM EAT, nakushukuru sana kwa website ya proactiv. Ubarikiwe ndugu yangu na wote mliotupa siri ya ProActiv.

    ReplyDelete
  36. hiyo picha ya chini anaongea na simu inaaonesha kabisa sio yeye, kaweka tu shingo yake na chini ni mwili wa mtu mwingine kabisa.iangalieni vizuri hyo picha ndo mtajua sio mwili wake amebadika tu kichwa chake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...