Home
Unlabelled
boston
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
picha ya juu inatosha sasa kuweka ya chini na simu na gazeti kama vile ur a stock broker ndio nini? ...acha hizo waachie washamba wenye kutaka kujionyesha....
ReplyDeleteHji uko majuu fanya mpango wa hizo chunusi usoni basii.
ReplyDeleteMwacheni jamani kwani ushamba kazaliwa nao. Hivi mpaka asemem jamani hiyo suti kaazima kwa ajili ya Eid Mubarak na ameamua kuwaonyesha mapema ili mumzoee kwamba hata yeye siku moja moja anaweza kutinga ndani ya vazi hilo. Mpanga maboksi huyo.
ReplyDeleteMshamba ajifichi Duuu. Hata USA bado ushamba tu ama kweli watu wa Boston mna kazi
ReplyDeletethe baby is cute, i like her! Idd njema
ReplyDeleteHuyu ana undugu na obama nini mbona wamefanana hivyo..I almost thought it's Obama...aha aha...big ups:)
ReplyDeleteDuh kumbe hata Country Code +1 washamba wapo nilizani +255 na kwingineko tuu!!
ReplyDeleteHuyu Jamaa anaonekana mtu mzima lakini matendo yake na umri haviendani pili, next time usi showoff na simu ya mshindi na uko states na hayo magazeti yako ya job opportunites na suit za walmart.Grow up Bro
ReplyDeletemshamba pure and simple!
ReplyDeletekama anashoot film vile, inaonekana kabisa viwalo vimetingwa sio kimazoea ni kupigia picha tu...
Wabongo bwana sijui tatizo letu ni nini...kwani kuna ubaya gani kuwa na gazeti na simu? kama ni stock broker wewe inakuhusu nini?
ReplyDeleteAma kweli no wonder hata rais wetu anapewa hundi feki naye anashangili!
Duh!! Hiyo MOTOROLA mbona ya zamani sana... 1996 huku Bongo...
ReplyDeleteLakini Haji mbona koti ni kubwa? hakuna saizi yako kweli? Au kwa vile hiyo ndio rangi unayoipenda basi na size hukujali!
ReplyDeleteEID NJEMA.
Jamani mi ni hako katoto tu! Duh, ni kazuri ajabu! Mdau kama huyo ni mtoto wako basi wee ni dume la mbegu! Naomba nidediket wimbo unaotamba huku bongo wa "nataka nizae na wewe" kwako. EID NJEMA.
ReplyDeleteWatanzania bwana kwa roho mbaya ndio maana hatuendelei, sasa kuna ubaya gani kwa jamaa akipiga picha namna hivyo?
ReplyDeleteSwali hivi angetokea mzungu kapiga picha zote mbili kama zilivyo na akazituma na michuzi kuziweka kwenye blog kama zilivyo wangetokea waswahili na kuchonga kama mlivyo msakama huyu jamaa?
Tuwe na mawazo mazuri ktk kujenga Taifa letu maana mawazo haya mabaya ndio mwanzo wa chuki zisizo na maana na ni sumu ktk jamii yetu hii ya Kitanzania na yataturudisha nyuma ktk maendeleo.
Wote mlio toa maoni mabaya na chuki kwa huyu jamaa muone aibu na mfikirie kubadilika kwa maana maisha sio hivyo.
Nawaonea huruma kwa maana kuwa masikini sio tu kuwa masikini kifedha bali unaweza kuwa masikini wa kimawazo, akili, n.k
TuPeNdAnE.
hahahahahaha,kweli anon hiyo simu ni ya kizamani sana hakuna kampuni ya simu ambayo bado inauza simu za aina hizi. ha haha haha ahaha
ReplyDeleteHiyo simu lazima itakuwa antique
ReplyDeleteDuh jamaa anaongelea sabuni ya Mshindi..? Au mamcho yangu? si utani..kwenye wabongo tuna shughuli sasa hizo chunusi si utumie hiyo sabuni ya mshindi kuziondoa?
ReplyDeleteduh huyu jamaa kama kweli ansoma hizi comments,nafikiri hatarusia maana cha moto kakiona ,haya maneno bora mnemchapa viboko maana ni makali mno.duh waungwana!!!
ReplyDeleteCan someone say PRO-ACTIV......Kaka yangu kuna dawa inaitwa ProActiv...unaweza ku order at 1 (800) 876-9717.
ReplyDeleteManake uso kama fenesi....na upo US of A ni aibu wangu.
Baba proactive at 1 (800) 876-9717. call them quick....ni aibu wangu
ReplyDeleteAisei kaka Mohamed uingie kwenye ile Celebrity Look alike contest hapa Boston Fox 25. Kwa kweli umefanana na Obama.
ReplyDeleteAh, wapenda vya kisasa ningawa hawavitengenezi! Ndio maana hatuendelei1 Kila siku kuchuchumilia "the latest model"!
ReplyDeleteAisee wabongo siwawezi!!
ReplyDeleteYaani hata sijui alipata wapi mawazo na kuona hizi ndio picha zifaazo kujitoa huku.Hivi uoni haya?Uso kama ukuta wa chumpin'g.
ReplyDeleteHaya IDD Mubaraka na suti yako ya charity
Bwana Michuzi hata kama comment ni mbaya namna gani (ili mradi haitukani mtu) weka bwana, maana kama comments hizi hapa, mimi zimenisaidia kujua ProActiv niipateje. Asante wandugu, ila msinichanganye na mhusika wa picha hizo, najua yeye anajua, mie niko mbali na USA bwana. Asanteni sana wadau...Ila punguzeni vitusi basi! Hatahivyo naamini wanaoweka picha zao humu wanakuwa wamejiandaa kwa lolote, maana mwoga unaanzeje kutuma picha kwa Michuzi?
ReplyDeletenyie mnaomsema mwenzenu ana chunusi siajabu nyinyi zimewajaaa mpaka mgongoni, acheni kumshambulia mwenzenu, au mnawivu?????????????????
ReplyDeletelabda hayo machunisi yanaletwa na mafuta aliyopaka ya nywele "kalikiti" they call it waves, maana hiyo soksi aliyovaa kichwani ni ya ku protect nywele ukilala, na picha inaonyesha ni usiku, hivi kwani chunusi haziambukizi? maana uso wake umemgusa hako katoto karembo jamani, next time wear foundation before u publish ur photos!!! u live in the states!!! aaaargh
ReplyDeleteBASI JAMANI SI MUMUACHE BROTHER WA WATU MMESHA MSEMA VYA KUTOSHA...LETS MOVE ON KWENYE ISSUES NYINGINE NZITO HII HAITUSAIDII...GHOOOSH!. WENGINE HAPA MNAMPAKA MSHKAJI NYIE WENYEWE HEBU KWANZA AANGALIENI PHOTO ALBUM ZENU!
ReplyDeleteAaaagh wabongo hata kama kumkosoa mtu hii sasa imezidi, si ajabu wengine humu humu sura kama nungu nungu tunajificha na Anon, jamaa kajitosa kwa picha na jina lake hadharani.....Nafuu da Chemi katoa mchongo wa look alike contest....kamua tu, kila mtu na maisha yake!Eid Njema mdau
ReplyDeleteHivi wanaume wakieka picha zao wao hawatafuti wachumba au ni wanawake tu ndio wenye shida? Sioni hata mwanamke wa kuomba contact za wanaume wa humu kwa Michuzi. jamani wanawake single huko Boston hamuoni hii. Profeshonal here...brother he got a J.O.B..kwanza sio ya kubeba box. Box na suti haviendani.
ReplyDeleteduh!wabongo mnatisha hiyo picha nilipita siku kadhaa mwnzo kabisa ndio naingia usa nashukuru kw amaoni yenu mazuri na pia wale wenye wivu wajinge mimi ni obama bwana ok eid njeme wadau
ReplyDeleteTuache yote jamaa ni handsome, yani anani datisha i wish ningemjua, yani yuko alright , ila hiyo uso tuu, lakini sio mbaya akitumia ProActive tuu zitakwisha au ajisafishe kw apamba kila usiku,chunusi zitakwisha.
ReplyDeleteKuhusu kushika hiyo simu na kuvaa suti haimtoshi na dhani watu hamja muelewa huyo amefanya kichekesho makusudi ili watu mcheke ,sio kama kweli ndio anavyo vaa.
Michael ,Upanga ,Tanzania.
Kwa Tarehe October 11, 2007 7:44:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDelete*********************************
information ya ProActiv namba ndio hiyo na website yao ni http://www.proactiv.com
Mimi si uongo nilikuwa na machunusi mabaya ...sasa huwezi jua ..in a month yote yana clear.
goma ADOBE hiyo
ReplyDeletendugu yangu anonymous wa 12,2007 4:03:00 PM EAT, nakushukuru sana kwa website ya proactiv. Ubarikiwe ndugu yangu na wote mliotupa siri ya ProActiv.
ReplyDeletehiyo picha ya chini anaongea na simu inaaonesha kabisa sio yeye, kaweka tu shingo yake na chini ni mwili wa mtu mwingine kabisa.iangalieni vizuri hyo picha ndo mtajua sio mwili wake amebadika tu kichwa chake
ReplyDelete