dk. joseph mbatia, mume wa hayati salome mbatia, alipokuwa iringa kuchukua mwili wa mkewe jana. kwa picha zaidi kutoka kwa mdau maggid mjengwa aliyeko huko iringa bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MAY GOD REST HER SOUL IN PEACE
    AMEN

    ReplyDelete
  2. Mungu wangu, kweli Remmy hakukosea kuimba kifo hakina huruma! Jamani huyu mama sitamsahau maana ni tofauti kabisa na mawaziri wengine, always alikuwa ni mtu wa watu na pia mtu wa kujichanganya, mpaka ugundua ni waziri, shughuli imefanyika!! Alikuwa haringi kabisa jamani!!
    Anyway tunamwombea safari njema katika ulimwengu wa roho kwani sote tu njia moja tatizo hatujui nani atatangulia!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...