Napenda kuwatakia wadau nyote Idd njema.Ishallah sisi huku Dubai tunaswali jumamosi.

-mdau Ali Yusuf

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Aww Eid Mubarak kwa wewe pia jamani. Kila la kheri ktk msherekeo wa Eid hii na nyingine zoote zikujazo. May Allah keep u safe

    Aeisha

    ReplyDelete
  2. Minal eidina.Bro umejuaje kama mnasali ijumaa?

    ReplyDelete
  3. Jamini Sasa bro Michu, huyu jamaa anatowasalamu za Idd huku njiwa wamemtada kibao, siwata mchafuwa sana na haja zao? Nadhani shati lake baada ya hapo lilikuwa balaa..

    ReplyDelete
  4. Dear Ali,
    Unatafutwa na mke wako pamoja na watoto wako, Deira Dubai!!!!Rudi nyumbani!

    ReplyDelete
  5. utasemaje jumamosi nakufunguaa ni muandamo wa mwezi sasa ikiandama leo kesho sikukuu sikesho mwezi unaweza andama 29

    ReplyDelete
  6. mmmmh dubai pia kuna trafalgal square? haya mdau

    ReplyDelete
  7. we ally unafunga au unakazia kazia huko dubai.. afu kwanza waarabu wa dubai nasikia wanafungulia na vipande vya kiti moto na glass za wine..

    ReplyDelete
  8. Same to u Ali. hope all is well back in Mbezi.

    Kwame.

    ReplyDelete
  9. hapo naona kama siyo Dubai, nadhani hapo ni mojawapo ya hizi nchi za ulaya, kama nitakuwa nimekosea naomba mnisahihishe

    ReplyDelete
  10. ndugu yangu...anoniymous,dubai haina tofauti yoyote na nchi za ulaya...na kwa taarifa yako,plan inayofanywa na hao waarab wa dubai nadhani after 10 yrs sidhani hata hiyo NEW YORK CITY itaingia ndani..reje land reclamation in form of 7 continents zinajengwa sasa hivi huko dubai,manake wazungu mainjinia sasa wanalipwa na waarabu.......teheteheeeeeee mambo yamechange...mambo ya wese hayo mdau......

    ReplyDelete
  11. sina maana ya kwamba ulaya ni pazuri kuliko Dubai, na nimeishaifika Dubai nadhani very soon sidhani kuna nji itaifikia Dubai kwa uzuri wa muonekano wa majengo na barabara.
    niliposema huyo jamaa katika picha hapo juu ni kwamba naweza kusema 100 percent pale alipopiga picha siyo Dubai, na ninaweza kubet kwamba pale ni Trafalgar Squire LONDON, nadhani hata kaka yangu michuzi unaweza kutueleza? huyo jamaa hiyo picha yuko wapi? Trafalgar Squire au Dubai?

    ReplyDelete
  12. Wee Erwin mbumbumbu kweli,wenzako wanaongelea mandhari ya picha inavyoonekana kama ulaya wewe unaongelea dubai itakavyokuwa after sijui 30 years!!!!Kwa taarifa yako DUBAI hata kwa sasa iko bomba sana kuliko hata nchi zingine za ulaya ila Majengo yote ni Modern ya leo leo si kama hayo hapo ya Trafalgar Square ya 18 kweusi.Wenzako wanajua miji na nchi wewe unakuja na kihoja chako cha pumba.
    Ama kweli kuna watu na viatu.
    CHA CHANDU-UK

    ReplyDelete
  13. Jamani kwani Ulaya peke ndo kuna sehemu nzuri? ebozz!!!
    Pia inawezekana picha alipiga ulaya na sasa yuko Dubai kelele za nini?
    Eid njema kwako pia Ally.

    S.

    ReplyDelete
  14. Kwanza hakuna michosho kama Europe, Dubai sijafika ila naipa kura ya uhakika wa kuwa nzuri kupita sehemu nyingii tuuu US hata Europe. South Africa tu imeadvance kupita miji mingi ya US au Europe.

    ReplyDelete
  15. Baba hapo juu kuadvance sio majengo!!!ni miundo mbinu.Kama majengo mbona hata bongo-Dar kuna majengo hata ya ulaya hayaingii!!!NI MIUNDO MBINU BABA.
    Ama kweli kuna watu na viatu,salaalah.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete
  16. ebwanaee unatafutwa uje kuwa pasa wa 330 huku!!!...miye jirani yako pale magorofani...ukienda bombay msalimie KASILI

    ReplyDelete
  17. Jamani mbona swali la mdau liko straight yeye ametaka kujua picha ni ya wapi si mdau yuko wapi kwa sasa kwani utaona kuna mdau anamuambia "Familia yako mke na mtoto wanakuhitaji urudi Dubai..." huyu jamaaa hayuko Dubai wallah
    Wabillah Tawfiq

    ReplyDelete
  18. Jamani hiyo Picha Ally aliipiga akiwa huku Tanzania
    Name of Town: Mtwara
    Photo Location: Old Boma Hotel, Mikindani
    Photographer: Air Tanzania x-collegue

    Acheni ubishi usio kuwa na kichwa wala miguu. Dubai, dubai ohhh ulaya ulaya... washamba nyie!

    ReplyDelete
  19. Jamani Wabongo acheni UBISHI!!! hapo sio Dubai. Dubai haina "Ancient Buildings" / Majengo ya kizamani-zamani yenye muundo wa ki-castle-castle kama hayo. Dubai majengo yake ni veeeeere contemporary, yaani ya kisasa. Mimi ninaweza hata kuiweka rehani Ikulu yetu ya Bongo kupinga kuwa hapo sio Dubai.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...