mdau wa ujeremani anatoa mkono wa Idd kwa wadau wote na anatoa pongezi kwa wale wote waliofunga mwezi mzima na kuswali kila siku kwenye mwezi huu mtukufu. anawataka muendelee na hayo hata baada ya sita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. black beauty,sijui shape

    ReplyDelete
  2. Salaleeee swaumu yote imeisha..email yako tafadhali.

    ReplyDelete
  3. very nice smile hongera kwa kuhifadhi uasili wako mungu akujalie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...