
F.C.BONGO Helsinki tunawatakia kheri na baraka za Eid el Fitr kwa wabongo wote ulimwenguni.
Mungu atubariki tuendelee na upendo wetu. Na wewe michuzi , wee acha tu, lakini mungu anajua, kama Mwalimu nyerere aliacha sumu yake ya kuwafanya wabongo wawe wamoja basi wewe ndio umechukua share kubwa ya sumu ile. Mungu akujaalie uzidi kuendeleza libeneke.
Chwaaaaaaap!!
hata mimi nawaunga mkono hawa jamaa
ReplyDeleteMnaonaje kama WADAU wote ulimwenguni tumpatie tunzo kaka Michuzi kwa kazi yake bora?
ReplyDeletenimefurahi kuona kuna timu Finland mimi ni mmoja wa wachezaji wa FC KILIMANJARO hapa Sweden nilikua naomba muwasiliane na viongozi wa kilimanjaroclub.com ili tuweze kupimana nguvu na mimi nitawaeleza uongozi wangu.EID MUBARAKA WOOOTE
ReplyDelete