Walking/ Jogging Club

An informal Saturday walk/ Jogging group has been planned for early next month. Baby joggers and dogs welcome.

We can meet at 0630 hrs at the Mlimani City parking lot:

Walk/jog up to the University of Dar es salaam Canteen Area and back to the Milimani City. Future distance to cover/ coordinators of the weekly event will be agreed upon once we get it going.

November 3rd, 2007 would be a great day to start this off.

If you are interested please email your Full names and number to
turnkeyoftz@yahoo.com

Healthy Tanzanians (citizens and residents) – It’s possible

--------------------------------------------------------------------------------
Wadau : Kuna mpango wa kuanzishwa kwa kundi la maozezi ya kutembea kila jumamosi; saa 12.30 asubuhi kuanzia tarehe 3 Novemba 2007. Matembezi yataanzia Mlimani City hadi Daruso Chuo kikuu na kurudi Mlimani city. Kama una nia ya kushuriki, tafadhali tuma jina kamili na namba ya simu kupitia barua pepe -
turnkeyoftz@yahoo.com.

Umbali wa kutembea na waratibu tutachaguana kundi litakapotimia


Watu wenye afya Tanzania (wazawa na wageni) - INAWEZEKANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi jogging ni kutroti au kihaya au kinyakyusa ni kutoroti

    ReplyDelete
  2. kingereza kigumu au kiswahili kigumu....residents ni wageni?mweeeee...nilizania resident ni wakazi.


    lakini muhimu hii kwa wabongo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...