mambo ya vingunguti kwenye bucha ya makongoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yaani acha tu hicho kitu bwana ni kitamu ile mbaya tatizo wanapotengeneza, ila ukiifumania sehemu safi kongoro/mkia si mchezo

    ReplyDelete
  2. "HAKI YA WANYAMA" au ni valid kwa Manyaunyau tu?????????

    ReplyDelete
  3. Mweeeeeeeee...Bro, yaani toka nimeona ile picha ya manyau, hahaha...hii zafanana au? yaani kidogo ningesema toaaaa, toaa. Du usiweke tena picha kama ile, imeharibu hamu yangu ya makongoro. Wadau msinizodoe...ni mtazamo tu.

    KN

    ReplyDelete
  4. Mbona hayo makongoro yamepakwa rangi kwenye kucha? LOL

    ReplyDelete
  5. natapika toa michuzii pse

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...