Home
Unlabelled
kufa kufaana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo ni kituo cha palm beach, hicho ndio kilikuwa kituo changu kikubwa kuelekea mitaa ya sea view kwa girlfriend wangu. nasikitika kuona bado hiyo sehemu hawaja itengeneza, huyo dogo nilikuwa namuungisha sana kwa pipi na choclate
ReplyDeleteHa ha haa!Bro michu mfuniko wa hapo nimeuona gerezaniiiii kwenye scrappers..haraka wahini kuuchukua kabla haujasagwa kuwa chuma.
ReplyDeleteDogo ananikumbusha jana nimiona katika I chivii mjasiriamali mmoja wa mitumbaz.... kaandika majina ya wateja wake anaowadai kwa muda sasa na wanampatia story ndefu... Je Wadau mnasemaje kuhusu aina hii ya kutangaza wadaiwa suguz..??
ReplyDelete