mjasiriamali akiweka tangazo lake barabarani na wakati huo huo akiokoa maisha ya wadau kutokana na mashimozzzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hapo ni kituo cha palm beach, hicho ndio kilikuwa kituo changu kikubwa kuelekea mitaa ya sea view kwa girlfriend wangu. nasikitika kuona bado hiyo sehemu hawaja itengeneza, huyo dogo nilikuwa namuungisha sana kwa pipi na choclate

    ReplyDelete
  2. Ha ha haa!Bro michu mfuniko wa hapo nimeuona gerezaniiiii kwenye scrappers..haraka wahini kuuchukua kabla haujasagwa kuwa chuma.

    ReplyDelete
  3. Dogo ananikumbusha jana nimiona katika I chivii mjasiriamali mmoja wa mitumbaz.... kaandika majina ya wateja wake anaowadai kwa muda sasa na wanampatia story ndefu... Je Wadau mnasemaje kuhusu aina hii ya kutangaza wadaiwa suguz..??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...