mdau wa tunisia yasmeen anafungua pazia la kutoa mkono wa iddi mapema kabisa kwa wadau wote na kuwapa pongezi wote waliouona mwezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Watu hawalazi damu. Nafasi ndio hii, umeri wenyewe umeanza kwenda. Hongera Mkono wa Iddi

    ReplyDelete
  2. jazaakumu llahu jasmine LAKINI JITANDE USHUNGI this is EID si ndio!!!

    ReplyDelete
  3. anony 11:13 what is wrong with you?

    amekwambia anatafuta mume..na kama ni hivyo la ajabu lipi? acheni utoto utoto tu mnaharibu ladha ya blog ya kak ytu ambaye pamoja na kazi zake nyingi lakini anatuletea habari nyingi.
    sasa peleka utoto wako mahali pengine

    nawapa wote hongera za kuuona mwezi.

    ReplyDelete
  4. nawapa waisilamu wote hongera sana za kuuona mwezi. Naomba kuuliza Iddi hii ni ipi...iddi mubaraka au iddi.....?
    Na ni lini...unajua tena ukiishi USA kama wewe sio muislam wala hutajua ilikua lini> Ni blog ya michuzi ndio imetufungua macho kukeep up na sherehe za nyumbani.

    ReplyDelete
  5. Africa's top sites
    http://afrigator.com/topsites

    ReplyDelete
  6. ni IDD EL FITR yaani ya kumaliza mfungo wa ramadhani...sikukuu itakuwa either THU or FRI

    ReplyDelete
  7. Ushauri wa ndg.Miba ni mzuri kwa mdau mwenzetu.Lakini Tunisia wanategemea mno utalii kama ndio kiwanda mama kinachoendesha uchumi wa hawa wenzetu. Huku hadi nyanya,mchicha zatoka portugal! Kwahiyo tamaduni za jadi kama nchi nyingine za kaskazini hamna sana ni uzungu kwa kwenda mbele hivyo basi kama ilivyo Tanzania bro Michu kapiga shati na tai,nk.So wadau mi nimemsamehe dada yetu huyu, eid mubarak na hongera wale wote walioshiriki toba mwezi mzima nawaomba msirudi tena shimoni kwenye matope endeleeni kuwa wasafi daima.

    ReplyDelete
  8. Kaka Michuzi una habari zake za ziada?
    Vipi KAOLEWA huyu?
    Tafadhali naomba hiyo taarifa. Wengine tunatafuta wachumba hapa!

    ReplyDelete
  9. WEE ANON WA 3:51...HAJASEMA ANATAFUTA MCHUMBA HUYO, ANATOA MKONO WA IDDI TU IF I AM RIGHT...also blaza mchuzi IS NOT A PIMP you got it?...pia hii siyo site YA KUTAFUTA WACHUMBA...so, JUST LOOK...MEZA MATE, SUBIRI HAPOHAPO MKONO UDONDOKE UUDAKE

    ReplyDelete
  10. Dada yasmeen ana meno mengiii mdomoni..hivi haya si zaidi ya 32?

    Eid Mubarak na wewe

    ReplyDelete
  11. Unaona watu wanaona mbali huoni imeanza kulipa? Angalia Tarehe October 9, 2007 3:51:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous. Watu weweeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  12. Na wewe anony wa 4:15 PM EAT mbona unakinga sana? kwani wanaotafuta wachumba mpaka waandike "NATAFUTA MCHUMBA" unaweza kutafuta ki-aina kama hivyo unatoa mkono wa iddi, tunaopendezewa tutamtafuta. kwanza hata mimi nataka contact zake maana katuliaa meno meupeeee.....

    ReplyDelete
  13. acheni kumtania dada wa watu, yaani mnasema ana meno mengi kama ngiri? Arooo tutakuaresti halafu tukkukamate

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...