Home
Unlabelled
mdau wa tunisia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu hawalazi damu. Nafasi ndio hii, umeri wenyewe umeanza kwenda. Hongera Mkono wa Iddi
ReplyDeletejazaakumu llahu jasmine LAKINI JITANDE USHUNGI this is EID si ndio!!!
ReplyDeleteanony 11:13 what is wrong with you?
ReplyDeleteamekwambia anatafuta mume..na kama ni hivyo la ajabu lipi? acheni utoto utoto tu mnaharibu ladha ya blog ya kak ytu ambaye pamoja na kazi zake nyingi lakini anatuletea habari nyingi.
sasa peleka utoto wako mahali pengine
nawapa wote hongera za kuuona mwezi.
nawapa waisilamu wote hongera sana za kuuona mwezi. Naomba kuuliza Iddi hii ni ipi...iddi mubaraka au iddi.....?
ReplyDeleteNa ni lini...unajua tena ukiishi USA kama wewe sio muislam wala hutajua ilikua lini> Ni blog ya michuzi ndio imetufungua macho kukeep up na sherehe za nyumbani.
Africa's top sites
ReplyDeletehttp://afrigator.com/topsites
ni IDD EL FITR yaani ya kumaliza mfungo wa ramadhani...sikukuu itakuwa either THU or FRI
ReplyDeleteUshauri wa ndg.Miba ni mzuri kwa mdau mwenzetu.Lakini Tunisia wanategemea mno utalii kama ndio kiwanda mama kinachoendesha uchumi wa hawa wenzetu. Huku hadi nyanya,mchicha zatoka portugal! Kwahiyo tamaduni za jadi kama nchi nyingine za kaskazini hamna sana ni uzungu kwa kwenda mbele hivyo basi kama ilivyo Tanzania bro Michu kapiga shati na tai,nk.So wadau mi nimemsamehe dada yetu huyu, eid mubarak na hongera wale wote walioshiriki toba mwezi mzima nawaomba msirudi tena shimoni kwenye matope endeleeni kuwa wasafi daima.
ReplyDeleteKaka Michuzi una habari zake za ziada?
ReplyDeleteVipi KAOLEWA huyu?
Tafadhali naomba hiyo taarifa. Wengine tunatafuta wachumba hapa!
WEE ANON WA 3:51...HAJASEMA ANATAFUTA MCHUMBA HUYO, ANATOA MKONO WA IDDI TU IF I AM RIGHT...also blaza mchuzi IS NOT A PIMP you got it?...pia hii siyo site YA KUTAFUTA WACHUMBA...so, JUST LOOK...MEZA MATE, SUBIRI HAPOHAPO MKONO UDONDOKE UUDAKE
ReplyDeleteDada yasmeen ana meno mengiii mdomoni..hivi haya si zaidi ya 32?
ReplyDeleteEid Mubarak na wewe
Unaona watu wanaona mbali huoni imeanza kulipa? Angalia Tarehe October 9, 2007 3:51:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous. Watu weweeeeeeeeeeee
ReplyDeleteNa wewe anony wa 4:15 PM EAT mbona unakinga sana? kwani wanaotafuta wachumba mpaka waandike "NATAFUTA MCHUMBA" unaweza kutafuta ki-aina kama hivyo unatoa mkono wa iddi, tunaopendezewa tutamtafuta. kwanza hata mimi nataka contact zake maana katuliaa meno meupeeee.....
ReplyDeleteacheni kumtania dada wa watu, yaani mnasema ana meno mengi kama ngiri? Arooo tutakuaresti halafu tukkukamate
ReplyDelete