wadau katika shopingi ya mwisho mwisho ya idd el fitr mtaa wa kongo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ndugu zangu kuweni macho mkizubaa kidogo mifuko mitupuu wajanja washswapiga bao..ukirudi home hakuna nguo za eid ni story tuu kwa mai waifu.hakuelewi ng'ooo

    ReplyDelete
  2. Ka Michu umenikumbusha home sana..nakumbuka mwezi 28 na 29 ndo shoping za mwisho mwisho...baada ya hapo nachukua Rahaleo..wanaoijua Rahaleo wanajua naenda wapi halafu.

    EID MUBARA KWA WADAU WOTE.

    Ishallah mwenyezmungu azipokee funga zetu.

    ReplyDelete
  3. Laha Leo inaelekea kwa Mashoga zako.Au vipi yakhee si unajua shoga zako wengi wako huko kwa Laha leo.Wewe uliyenielewa tofauti shauri yako.Ntakupeleka Lamu kupitia Mombasa ufunzwe kiswahili faswaha

    ReplyDelete
  4. Hivi Tz hamna chombo cha serikali kwa ajili ya kutetea walaji? Mfumuko wa bei unatuua jamani. Hawa mawaziri wanaopita kuelezea bajeti ndio maana wanazomewa,haiwaingii akilini wananchi wakiona bei za bidhaa zinavyopaa kutokana na bei ya mafuta kua juu,cement ya twiga sasa imepanda kutoka 10500 hadi 11600 bei ya kiwanda,mtaani inapatikana kwa sh 16000(kwa bei ya 10500) wiki ijayo sijui itakuwaje?nguo ndio usiseme bei zake kila mtu anajiamulia,na hivi serikali imeweka 'salary floor' kwa sekta binafsi tutarajie maumivu zaidi.Watu wa chini na wa kati ndio hivyo jamani hatujengi,hatuli hatuvai. Tutaishi vipi?

    ReplyDelete
  5. hivi katika kalenda ya kiswahili kuna miezi mingapi?Mjomba hiyo miezi ya 28 na 29 umeipata wapi?Lazima itakuwa kalenda ya kichina hiyo unayoisoma wewe

    ReplyDelete
  6. WEYE UNAECHUKUA RAGHA LEO WAENDA "..PANGANI.." AU "..TANGA.." ASALALA

    ReplyDelete
  7. we anonymous wa october 11,3:17 Pm EAT. KAMA HUJUI KITU ILIZA..HIYO NI KALENDA YA KIISLAMU HATUSEMI TAREHE..EBOOZ.

    CHINA TU DO UNAKOKUJUA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...