Home
Unlabelled
mtaa wa kongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu zangu kuweni macho mkizubaa kidogo mifuko mitupuu wajanja washswapiga bao..ukirudi home hakuna nguo za eid ni story tuu kwa mai waifu.hakuelewi ng'ooo
ReplyDeleteKa Michu umenikumbusha home sana..nakumbuka mwezi 28 na 29 ndo shoping za mwisho mwisho...baada ya hapo nachukua Rahaleo..wanaoijua Rahaleo wanajua naenda wapi halafu.
ReplyDeleteEID MUBARA KWA WADAU WOTE.
Ishallah mwenyezmungu azipokee funga zetu.
Laha Leo inaelekea kwa Mashoga zako.Au vipi yakhee si unajua shoga zako wengi wako huko kwa Laha leo.Wewe uliyenielewa tofauti shauri yako.Ntakupeleka Lamu kupitia Mombasa ufunzwe kiswahili faswaha
ReplyDeleteHivi Tz hamna chombo cha serikali kwa ajili ya kutetea walaji? Mfumuko wa bei unatuua jamani. Hawa mawaziri wanaopita kuelezea bajeti ndio maana wanazomewa,haiwaingii akilini wananchi wakiona bei za bidhaa zinavyopaa kutokana na bei ya mafuta kua juu,cement ya twiga sasa imepanda kutoka 10500 hadi 11600 bei ya kiwanda,mtaani inapatikana kwa sh 16000(kwa bei ya 10500) wiki ijayo sijui itakuwaje?nguo ndio usiseme bei zake kila mtu anajiamulia,na hivi serikali imeweka 'salary floor' kwa sekta binafsi tutarajie maumivu zaidi.Watu wa chini na wa kati ndio hivyo jamani hatujengi,hatuli hatuvai. Tutaishi vipi?
ReplyDeletehivi katika kalenda ya kiswahili kuna miezi mingapi?Mjomba hiyo miezi ya 28 na 29 umeipata wapi?Lazima itakuwa kalenda ya kichina hiyo unayoisoma wewe
ReplyDeleteWEYE UNAECHUKUA RAGHA LEO WAENDA "..PANGANI.." AU "..TANGA.." ASALALA
ReplyDeletewe anonymous wa october 11,3:17 Pm EAT. KAMA HUJUI KITU ILIZA..HIYO NI KALENDA YA KIISLAMU HATUSEMI TAREHE..EBOOZ.
ReplyDeleteCHINA TU DO UNAKOKUJUA?