
haidar abeid muchacho akipokea kombe la ubingwa ambalo simba walinyakua mwaka 1975. hivi sasa simba na watani wao wa jadi wameanza kuonekana wa kawaida tu kwenye ligi kuu na wataalamu wa mambo wanabashiri mabadiliko katika soka ambapo hakutokuwa tena na ukiritimba ambao timu hizi mbili zimekuwa zikijivunia miaka nenda miaka rudi
a
ReplyDeleteIs it the beginning of the end for mighty Simba and Yanga?
ReplyDeleteNakumbuka vigogo vya jirani wetu Kenya vya AFC Leopalds and Gor Mahia walianza hivi hivi na hatimaye kupotea katika anga la kabumbu nchini Kenya. Gor waliwahi pia kuwa mabingwa wa Kombe la Washindi enzi zile (kama sikosei).Sasa hivi ukiongelea kabumbu Kenya hawa vigogo hawasikiki.
Je, Simba na Yanga wanaelekea huko huko? Pity them!
anayekabidhidhi kombe hilo ni mheshimiwa nani?
ReplyDeleteanayekabidhi kombe anafanana na Babu yetu Mhe.Joseph Mungui,mjumbe wa zamani NEC,IRINGA ambye kwa sasa ni waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
ReplyDeleteanayekabidhi kombe ni Mzee Henry Tandau.Hao wazee ndo walikuwa TANU kweli kweli,walipikwa wakaiva,mathalani kama ungemletea dili la Buzwagi kwanza angekupiga katafunua halafu anakuripoti Ikulu kwa mwalimu mara moja.Those were the times when nidhamu ya kazi really meant discipline na uongozi maana yake ilikuwa ni uadilifu kwa kwenda mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHuyu waziri kwenye picha ni Waziri wa Kilimo na chakula enzi hizo, Mungai. Bahati mbaya ama nzuri Mungai huyo huyo bado ni Waziri wa Kilimo na Chakula hadi sasa awamu ya nne.
ReplyDeleteAnayekabidhi kombe hilo ni Mheshimiwa Joseph James Mungai. Wakati huo alikuwa Waziri wa Kilimo na pia alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Huyo ni Simba sana, huoni tabasamu hilo.
ReplyDeleteHuyo ni Joseph James Mungai, Waziri wa sasa wa mambo ya ndani.
ReplyDeleteMbona Kila mtu kwenye hiyo picha kafunga macho?
ReplyDeletewe ANON wa October 5, 2007 4:14:00 PM EAT
ReplyDeleteAngalizo
kwasasa Mhe .Joseph Mungay ni waziri wa mambo ya ndani,
waziri wa kilimo,chakula na ushirika ni mhe.stephen wasira a.k.a "tyson".
ambaye hivi karibuni alipatwa na matatizo ya kuzomewa na wananchi akiwa ziarani huko mbeya
Wewe Jingo upo nchi gani? Huyu Mungai alikuwa Chakula na Kilimo Kabla ya Kupelekwa Mambo ya ndani kwa hiyo Anyo yupo sawa kwa sababu amekuwa waziri wa Kilimo na Chakula wakati wa awamu ya nne
ReplyDeleteNAMISS MISHIKAKI YA MUCHACHO PALE KARIAKOO,NA UKWAJU,AU CHICKEN TANDOOR,
ReplyDeleteWAMEFUNGA MACHO TOKANA NA KUAKISIWA KWA MWANGA WA TOKA KWENYE KURUNZI YA KAMERA YA MICHUZI WA WAKTI HUO !
ReplyDeleteMzushi