NGEKEWA YA MDAU RICHARD INAONESHA BADO INAMSAIDIA BAADA YA KUPONA TENA KUENGULIWA KWENYE JUMBA LA BIGI BRAZA AMBAPO JANA KWAKU WA GHANA ALITOLEWA NA KUWABAKIZA RICHARD NA UBANI WAKE TATYANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HUYU MSHKAJI ANAJITAHIDI SANA JAMANI, ISITOSHE TUNATAKIWA KUMSAPOTI, SIO KUISHIA KUONGEA ONGEA TU, KWA VILE MLE NDANI HAYO MAMBO YAKO KWA WOTE WALA SIO YEYE TU, KWA MFANO SALAMA JABIR ALIVYOMPONDA JANA, YEYE NI WIVU KWA VILE ALITAKA KWENDA AKASHINDWA NDO MANA, ANA NGEKEWA YULE, KWA RAHA ZAKE MWACHENI MWENZENU APETE!!

    ReplyDelete
  2. salama ana bahati nilipataga zali la kujaga ukerewe ila siku nyingi ningekuwa nimeshamfanyia kitu mbaya...yaani huyo dada mimi nitamrudiaga bongo kwaajili yake tuu. yaani kujiona yupo perfect. na wamebakia wachache kila mtu anatafuta njia ya kubaki sasa yeye badala atetee ili kuongeza nguvu anazidi kuponda eti pombe? lol naombeni wadau mnaokaaa karibu na mwenge kijijini mkagueni huyo salama kila atokapo kazini kama sio kushinda baaa tena na sio kwa pesa zake, asiye na haya hata kidogo mwana wa hizaya. na hata sijui nani siku hizi anakununulia pombe maana tajiri yako Hawa anapeta bondeni kwa tata ama joshua ndio anakupa tafu? dada sehem zingine sio za kuponda, ungemsubiri mpaka arudi na umuombe kumuhoji na kumponda live na sio kwa kikristo maana umefaaidisha wengi.yaani nina hasira na wewe mungu akurehem tuu.

    ReplyDelete
  3. AAH SALAMA JABIR ANAFAHAMIKA KUWA ANA ISSUES. SHE SERIOUSLY NEED CONSULTATION WITH A PSYCHOLOGIST. SIKU HIZI HATA WASANII HAWAMSIKIZI TENA. ZAMANI ALIKUWA AKIWAPONDA WANAMIND LAKINI SIKU HIZI WANAMPELEA VIDEO ZAO AWARUSHE TU HATA AKIZIPONDA KIMPANGO WAKE. HAKUNA ANAYEMSIKIZA TENA SIKU HIZI.

    ReplyDelete
  4. Hivi kwa nini huyo dada wa big braza anawahoji wakimbizi wanaojidai watanzania, huyo salama ni mkimbizi jamani muacheni, kachoka analazimisha uzungu sijui ni zeruzeru,yani hana direction kabisa na ule ufupi basi shida tupu,grow tall my dear.

    ReplyDelete
  5. Haka ka demu Salama bwanaa!! sijui kwa vile kabaya ndio maana kanachonga sanaaa!! alafu kanongeaga puuuumbaaa! hivi akajui watu wenye akili wanakachora sana. Nafikiri watu wanakokachapakazi hawakapatii ndio maana kachonga bila mpango,nina usongo nacho!!! sema tuu nakabaatisha kwenye TV mara nyingi na viwanjani tunapishana,lakini ipo cku!! aka kanatakiwa kafungiwe uwani kacheze na watoto wenzake!! Bro Rich!!! big-up sanaaa mzee naona watuwakilisha vyema kila la kheri mkuu!!

    ReplyDelete
  6. Huyo Salama kama analeta gozigozi mwambieni tutamtundika kule kwenye Blog ya UTAMU, kisha nae aende akashtaki FBI. Shauri zake.
    Bwana utamu hebu anza mchakato haraka sana!

    ReplyDelete
  7. Basi babake nilipita hi5 kuna siku, si ndiyo nikakutana na huyu binti eti ameweka sexual orientation yake ni Bisexual kwenye profile yake, yaani nilichefuka roho, nakubaliana na anon hapo juu she needs an urgent treatment probably seeing a PSYCHOLOGIST wont be a bad idea!! yaani bongo reggae tupu kuanzia presidaaa mpaka kicheche kama hiki...peace guyz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...