Home
Unlabelled
prague
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli wabongo wako kila corner sasa lugha inakuwaje huko na wa czech sisi wenyewe huku England hatuelewani nao kabisa.je mnasoma au na kama mnasoma lugha gani wanatumia huko maana watu tunaweza kuhamua kuja kusoma huko kuliko wazazi wetu wanavyotumia hela nyingi huku bure labda huko cheap
ReplyDeleteHatimaye majabari ya blog ya Michuzi yameibuka. RevdEVM, Emergency poison na Zemarcopolo tunamiss comments zenu! Kwani vipi au mademu ya kicheki yamewabana?? Au bia ya Pilsen - Plzen imewazidi?? Lovely City Prague. Nitafutieni viza tafadhari.
ReplyDeleteWewe unayetaka viza, unataka kwenda kufanya nini Prague??? Be specific, kama unataka kwenda kusoma, kufanya kazi, kunywa bia au kushangaa mji?? Mimi naomba mnitafutie viza nikamwone miss world. Nafikiri anatoka Czech.
ReplyDeletewewe anon wa kwanza nenda india vyuo dezo bei karibu an bure
ReplyDeleteCzech ni mojawapo ya nchi chache za ulaya ambazo bado zinaendelea kutoa elimu bila ada mpaka chuo kikuu hata kwa foreigners.wanaotaka kusoma civil engineering sio lazima wajifunze lugha.kuna kozi nyingine pia kulingana na vyuo ambazo hazihitaji mtu kujua lugha.wahindi wamejaa kibao toka hapo UK na USA wanavuna elimu.wabongo njooni pia msome.mimi nimejaribu watu kuwahamasisha lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na mtu mwenye aliyeonyesha kuwa na dhamira ya kweli kuja kusoma.kuna wengine wanadhani hii ni nchi ya kikomunist au ya ulaya mashariki...hizo hadithi zimepitwa na wakati,aint nothin in the big apple that ya cant get here!!!wazee wa difference mmesikia.....zemarcopolo!
ReplyDeleteWadau wa Prague, "mbona wengine mwatukanyaga, au ndo heri mimi sijasema"? Nalalamika kuona jina langu halipo kati ya hao Wadau wa Prague.Hapa ni kama fifty fifty hivi,kati ya walio shule na wafanyakazi.Kuhusu gharama za shule, nina hakika Rev. ana updated info,lakini nina hakika ni cheap kuliko huko kwenu Uingereza. Let's keep in touch, Ex-007.
ReplyDeleteEmergency poison... Sitakaa nikusahau haswa ulipotoa Comment zako kwenye Picha ya Fina Mango wa Clouds mwaka jana ... Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa!!!!
ReplyDeleteWadauzzz napendekeza Bro Michuzi awe anaweka Comments au Link ... zilizowahi ku-Hit katika Blog hii Mfano ni huu YAANI NIMECHEKA CNA HAMU MACHOZI YAMENITOKA LOH LOH LOH !!! Checkin hii
ReplyDeletehttp://issamichuzi.blogspot.com/2006/05/miss-upanga_114820474027517891.html#comments
Hivi jamani huyu emergencypoison Alikuwa wapi????
Sasa Ex-007 sio kwamba umesahaulika, bali balaa lenyewe limeanza pale ulipoamua "kugandamiza kizenji" hilo pilau la Eid peke yako, kwani hadi sasa hujasema Baraza la Eid litakuwa wapi, kama ni Erick's corner au Fred's corner.
ReplyDeleteKuhusu issue ya wale wanaotaka kusoma huku ni kama alivyosema Zemarcopolo, jamaa hawadi ada kuanzia chekechea (Sorry chekechea wanalipia USD 50 (hamsini) kwa mwaka), lakini primary hadi PhD ni bure kabisaaaaaaaa. Kuna baadhi ya kozi ndo wanataka usome kwa kicheki ili iwe bure. Huhitaji kuwa mtu wa matawi ya juu ili uchimbe hapa, bali Ubongo wako uwe unafanya kazi kwani hakuna kudesa (kutazamia), mitihani yao mingi ni oral.
Revd. EVM
wadau wa prague ni wabaguzi, kwanini wasiseme wadau wa czech kwa ujumla! nasi wa brno na mikoa mengine inakuwa hatujumlishwi, vibaya hivyo
ReplyDeletewadau wa prague ni wabaguzi, kwanini wasiseme wadau wa czech kwa ujumla! nasi wa brno na mikoa mengine inakuwa hatujumlishwi, vibaya hivyo
ReplyDeletezemarcopolo, naomba anuani yako ya e mail unipe habari zaidi za huko. E mail yangu ni ptwimi@uta.fi
ReplyDeletenyumba zote vigae vya kuchoma kama Dodoma? au huu mji uko chini ya CDA ?
ReplyDeleteWADAU WA UKRAINE SIJAWAELEWA KABISA.MNASEMA KUWA ELIMU HUKO NI BURE?? MBONA WALE WANAFUNZI 29 WAMEFUKUZWA HUKO KWA KUKOSA ADA?
ReplyDeleteNIELEWESEHENI HAPO WAZEE.ZEMARCOPOLO NA WENGINE
Revna wenzako naomba mtoe taarifa za uhakika wakuu ili wabongo tujazane huko tuchukue Nondo.
ReplyDeleteMnaonaje kama mkitoa link za kuweza watu kuzipitia wakuu.Kuchukua Nondo hapa bongo ni kama adhabu
wewe Anony wa October 12, 2007 7:28:00 AM EAT, Hapa si UKRAINE. Hapa ni Prague mzee, "the HEART OF EUROPE". Umbali wa Prague na Ukraine ni kama Prague - Sudan.
ReplyDeleteJamani jamani, vipi tena Czech Republic imekuwa tena Ukraine?Nimgemshauri huyo Mdau achukue ramani ya Dunia/Ulaya utaona kwamba hizi ni nchi mbili tofauti.Waliosoma na kumaliza shule zao hapa wengi wako hapo Uingereza, wachche wamebaki hapa na wengine walirudi Bongo.Hapa hafukuzwi mtu, si unajua bwana Wabongo wana-mean business,wakija kusoma wanafanya kweli.Vinginevyo, Prague ni centre ya Europe,nchi attractive kwa matourists, kuna sights na vey interesting places kibao. Hapa yule mzee H..(sitaki kumtaja jina), alipita tu, hakubomb huu mji au nchi. Hivyo karibuni Wabongo!Ex-007
ReplyDeletezema bro hapa sorry tumepishana halafu simu nilipoteza ndio niko NY lakininikirudi ukerewe next week tutawasiliana
ReplyDelete