Home
Unlabelled
rambirambi toka ukraine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Just a bit bemused! Hashim is okay. Toni and Emma, is it female ar male? Which is which?
ReplyDeleteWE ANON WA KWANZA FALA NINI? WENZAKO WANATOA RAMBIRAMBI WEWE UNAULIZA MALE/FEMALE.AKILI ZAKO NI
ReplyDeleteKAMA ZA PANZI.
MWANANGU HASHIM,RIGHT,NA MDAU HUYO
AHSANTENI KWA RAMBIRAMBI.TUMUOMBE
MUNGU AMLIPE MAMA SALOME KWA YOTE
MEMA ALIYOFANYA.KILA LA HERI
Mbona wanaonekana wamefurahi?
ReplyDeleteJamani msipige picha siku ya arusi, mkicheka na kutabasam, kisha picha hizohizo kuzituma wakati wa kutoa rambirambi. Acheni upuuzi huo...mnamchekea nani watu tunaomboleza?
ReplyDeleteNakubaliana nawe anon hapo juu, hii picha si ya kuambatanisha na rambirambi, watu mko dukani kwenye wine na kahawa mnapiga picha halafu mnatuwekea hapa tuwaone kwa kivuli cha rambirambi, ah! wakuja ni wakuja.
ReplyDeleteHAPA SIO SEHEM YA KU-EXPOSE UZURI
ReplyDeleteWA SURA ZENU.HALAFU HAPAKUWA NA
ULAZIMA WA KUTUMA PICHA WAKATI HUU
ILA KWA KUWA NI WASWAHILI.YANI
MNAONEKANA KUCHEKA NA WALA PICHA
HII HAMKUPIGA WAKATI MKIJUA UZITO
WA MSIBA HUU.NEXT TIME MSIRUDIE
UTOTO KAMA HUU.SHAME ON YOU!!
Alafu kibaya zaidi walikuwa....! chichemi mie
ReplyDeletewewe uansema wko kwenye dula la wine. wenzako wako mgodini hapo. Box linapigwa hata kwenye maduka sio kwenye viwanda vya kutengeneza computer tu Texas
ReplyDelete