kariakoo shimoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ndio basement market hilo la Dar,mlizani ulaya tu kuna mabasement?

    ReplyDelete
  2. bob michu
    unaisononesha na kuutesa moyo wangu na kuujaza simazi juu ya picha zako za kwetu kariakoo, natamani ningekuwa kadege ningeruka kwetu. napa miss ile mbaya na soko hili ndo kabisa nilikuwa napenda sana kuingia shimoni si unajua tena waya ulikuwa mkali nilivyokuwa home.

    big up my man lakin unautesa sana moyo wangu kwa kurudisha nyuma kumbu kumbu zangu.

    ReplyDelete
  3. Nadhani kwa kufuata mfano huu tunawezajenga subway bongo!!

    ReplyDelete
  4. nilikua nikiingia hapa inabidi nyumbani wasimalize walichokua wanafanya. Mpaka ikawa sheria tukishamaliza vyote wanapokwenda shimoni mimi naenda kuwasubiri nje. Nilikua nikiingia tu hapa siwezi kupumua tena...Sijui nilikua naogopa nini?

    ReplyDelete
  5. Anona mwaya pole, ila naomba nikuulize kwani huko uliko ndo huwezi kurudi bongo tena?
    nyumbani nyumbani..sikuhizi bongo yang'ara, si unaona hadi mchanga twaagiza nje..hehehe

    ReplyDelete
  6. anonymous wa oct 4 at 3:33 nakushukuru sana kwa kunipa pole na kwa kweli ninahitaji hizo pole.

    yani siwezi kurudi nyumbani,yani wacha weee, natamani kulia machozi hayatoki nalia kimoyo moyo na kujikaza kiume.

    najua nyumbani ni nyumbani tena napa miss ile mbaya lakin kama huna kitu wala means za kurudi si balaa jamani.

    mungu yupo one day yes au vipi.
    asante sana tena kwa kunipa pole

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...