Home
Unlabelled
wese
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usijali Michuzi Sheria tutairudisha pale tutakaposikia kuna kituo kimelipuka na kuchoma watu wote ndani ya basi ndio tutarudisha sheria hiyo tena kwa hiyo huo ndo utaratibu wetu ndugu yangu.
ReplyDeleteKaka michu unakuwa kama mgeni bongo.
ReplyDeleteJiulize leo hii mambo ya speed gavana yapo wapi?
Hapo mpaka maafa yatokee kama alivyosema anony hapo juu then ndio sheri zitaanza kufuata mkondo wake.
Inasikitisha na ni hatari sana.
walaaniwe hao wanaovunja sheria na vyombo vya sheria visivyofuatilia sheria ikae sawa. Wataamka siku gari likilipuka na kuua watu.
ReplyDeleteHiyo ya gari kuungua sheli haijawahi kutokea sijui makamba katoa wapi amri zake hizo za kishamba,it doesn't make any sence.Gari mbovu zinaua watu kila siku kwanini hatua zisichukuliwe?
ReplyDeletewewe unaishi wapi aua unaangalia news kwa vile haijatokea tanzania basi hilo ni jambo la kushangaza. Mara nyingi sana magari yameungua kwenye vituo vya mafuta. Kama tanzania haijatokea basi tusikae kusubiri itokee na kuua watu
ReplyDeletekam sheria ni no...basi ifuatwe
Bro "Michu" Mwambie Dereva awe anafutaga ilo vumbi katika iyo Dashi bodi ya Gari yakooo!!!
ReplyDelete