wadau wa kundi la uhamasishaji la simba la 'mpira pesa' linatoa mkono wa iddi kwa wanasimba wote pamoja na watani wao wa jadi yanga. wanasema mwaka huu jangwani kaeni mkao wa kulia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Simba yenyewe kwenye ligi hali yake ni sawa na mtoto KAYUMBA.

    Tukiwafunga hiyo tarehe 24 hilo jina ndiyo litakuwa rasmi SIMBA KAYUMBA.

    ReplyDelete
  2. Na nyieYANGA mtaitwa YANGA - YATIMA maana huyo mliyekuwa mnamshobokea eti baba yenu (MANJI) KAWAKATAA!!

    ReplyDelete
  3. Ushasema Tukiwafunga ushajuwa haiwezekaniki Siku ya Siku inashallah ikifika Simba 2 yanga 0 Eid Mubarak Yanga Inajulikana kama MDebwedo simnajijuwa kama Nyie Yanga AkA Mdebwedo A.k.A YeboYebo A.k.A Malapa mabovu.

    ReplyDelete
  4. Wewe kwanza Yanga gani???Ya manji au ya madega???Simba hata akicheza na Dalali golini nyie mtafungwa tu.Miaka saba mmefungwa.Simba heri afungwe na Mbagala United kuliko na vibaraka wa kihindi.Heri kuwa na njaa kuliko kuwa mtumwa wa wahindi.

    ReplyDelete
  5. Simba akishinda huweki kwenye blog.Akifungwa unaweka saa hiyo hiyo.Kuwa mkweli sema wewe Yanga kwani kabla ya Pan kuundwa kutokana na mgogoro wa Yanga ulikuwa timu gani???Au ndio wale waliowafuata Mzee Mangara na Shiraz Sharif.Hata usipotoa comments zangu jaribu kuwa fair ili watu waendelee kuamini kwamba hii ni blog ya wote bila unazi na ushabiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...