Salama Mzee Michuzi, natumaini umeiona sikukuu ukiwa bukheri wa Afya.

Sasa kuna issue moja nilikuwa nadhani kuwa utaweza kunisaidia, kuna jamaa anajiita Utamu wa kujing'ata ....., wanaiba picha kutoka kwenye Hi5, na myspace halafu anaweka kwenye website yake, na kuanza kuwatukana wakina dada wasiokua na hatia . Kibaya zaidi anachukua picha za porno toka kwenye porno sites halafu anaonyesha hata bila warning, which is very illegal.

Nilikuwa nakuomba unisaidie kitu kimoja, kwa kupitia website yako (najua kuwa lazima anaisoma), ajue kuwa tumemripoti kwa FBI, na FBI wanafanya kazi na MidPhase Services and Single Hop za Chicago(USA) - hawa ndiyo ma-host wake, wanajaribu kum-track down kupitia MAC Address yake, kama hajui kuhusu MAC Address, basi inabidi aka google. Wakimkamata atakwenda jela sababu anajaribu kuonyesha pornographic materials to the minors. Popote pale alipo FBI wataagiza vyombo husika vya nchi hiyo, na atakamatwa kwa ajili ya upumbavu wake.

Vile vile watu wanaopost comments, kuweni makini, ni kazi ndogo sana kukutrack sana sana kama upo USA or UK...shauri yenu.

anyway, mimi sina mengi, ila naomba sana uandike ujumbe huu kupitia website yako,


Ahsante sana kwa kutupa habari mbalimbali za bongo.
Nategemea siku moja kila mtu atakua na busara.

Lilian

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. sasa wewe kumlipoti FBI yanakuhusu nini? I mean, unless you have been injured by his actions, otherwise I see you like the one with kimbelembele! Get life!

    ReplyDelete
  2. HUYO MBONA ANAFAHAMIKA KUWA NI ABDALAH MRISHO?

    ReplyDelete
  3. nakuunga mkono lili, mimi nimesikitishwa sana kuweka picha za watoto kwenye hiyo blog yake,hata watoto wadogo? hiyo ipo disconected na ukweli ulivyo!amekwisha as a man and as mbongo...hamna mtu wa kutupostia picha yake? najua wapo jitokezeni!

    ReplyDelete
  4. Sawa sawa Lilian, sasa sijui ni Lilian Taito wa Houston or ? anyway its very nice message to the Tanzanian community, some people they need to grow-up.

    ReplyDelete
  5. NUTHING,WHETEVER,IT WON'T B EASY TO CATCH THIS GUY,HE MAY BE USING CYBER CAFE AS U KNOW WE ARE VERY POOR IN KEEPING RECORDS,WHAT HOST MAY DO IS JUST TO CLOSE HIS ACCOUNT

    ReplyDelete
  6. watu mazezidi upuuzi, bora wafungwe kidogo labda watapata busara. Wenzutu wa Kenya huwezi kusikia wanafanya vitu vya aibu kama hivi.

    ReplyDelete
  7. Interesting,he'll definitely get time if he's showing pornographic material to minors.

    But other than that,they really have no case.Snatching another persons picture is ONLY punishable by law if it has a watermark,if it doesn't?There's absolutely no case,'cause even if you can indeed prove he/she has used your picture without your consent,you still have to prove that he/she stole your pic for either Commercial,Malicious,or plain hateful intent;and this is where most cases end.

    About being able to get tracked,yeah,it's just a matter of getting your IP address,but a lot of people use Proxy servers nowadays,making the Feds job that much harder.Plus,since comment moderation is enabled on Michuzi's blog,the FBI have yet another obstacle to overcome if they plan on using a persons comments as legal evidence...

    Anyways,if that dude is in Tanzania,sadly,his chances of not going to jail are good,it'll probably take the feds 2 months to act on him,and by then he could be anywhere in TZ.Add in the fact that the FBI rely on Online communications to track people down overseas,I doubt they'll catch him if he goes to Rombo lol

    ReplyDelete
  8. Jamaa anavyofanya kuwatukana watu sio fresh kweli.
    Lakini hii story yako nayo ni fiksi tupu!! Yaani FBI wamekosa kazi waanze kufuatilia blog ya mtu?? Sioni anajaribu vipi kuonyesha "to the minors".

    Kama kweli hiyo site ni illegal host angeitake down mlipomripoti mbona site bado ipo?

    Na hiyo threat kwa wanaotoa comments ya nini? Kuna illegality gani kwenye kutoa comments?

    Again simsaport huyo jamaa ila acha kujaribu kuwatisha watu.

    ReplyDelete
  9. Unayelalamika unamwona huyo jamaa tuu mbona picha za ngono zimesambaa kila mahali dunia ya sasa au unaishi wapi wewe?Get yourself something else to do,get a job or sumtin.

    ReplyDelete
  10. Nimestushwa na hiyo blogu-Na Chakushangazwa zaidi ni kwamba partner wake ni Vyombo vingine vya habari(tovuti) ambavyo tunaamini vinatuletea habari(hasa kwa walio huku ughaibuni)halisi kutoka Tanzania. Kama anafanya hizo manipulation za picha, tutajuaje hawo mapatna wake wana-manipulate habari kutoka Tanzania ili kuleta vurugu za Jamii na Siasa? Lillian umefanya vizuri kuripoti hiyo blogu. Na wasihi Watanzania wenzangu kuwasusia- blogu hiyo na mapatna wake(Jambo Radio,Habari Tanzania,Ajira kwa Vijana, Blogu Tanzania na Jambo Photos)kwani hujuma hizo ni nzito na kama Lillian alivyosema it is Illegal! Hawa Mapatna wajieleze kwanini wanamshabikia!!

    ReplyDelete
  11. Lilian na wewe point and no point.

    Sasa comment zina husu nini na FBI? Acha kushtua watoto. Mtu asiseme mawazo yake. Kama ni porno kwenye site huko utajua mwenyewe unachotafuta kwenye my space.

    Lakini kublog na comments hata kama uishi USA, Canada au popote no body cares. Mtu kama hiyo comment inhusu kitu unachokisema wewe wataandikia wakiwa library , shule zina computer ngapi, internet Cafe ngapi ziko kama mtu anataka kujificha na comments za blog ataweza. Nani nani atapoteza muda na resources kumfuata mtu aliyetoa comment kwa blog ya michuzi? Michuzi mwenyewe labda ni FBI agent anastrip comments hata kabla hazijafika hewani....

    Wewe kama umeshamripoti huyo mtu kwenye porno huku kwa Michuzi unamtangazia ili akimbie? what is your point?

    ReplyDelete
  12. Nyinyi hamuelewi, FBI wana pesa nyingi sana kwa ajili a kuzuia porno kwa minors and stuff like that, jamaa alivyokuwa mshamba host wake wana info zake zote inluding payments credit card/paypall, etc. sasa watashindwa vipi kumkamata? Kwa taharifa zenu basi FBI wako mstari wa mbele sana katika kuzuia maswala hayo, wakishamjua tu, wanapiga simu hata kama ni bongo, anakamatwa.

    ReplyDelete
  13. mimi nadhani lilian ameandika kwenye michuzi ili watu wote wajue nini kinaendelea na kama wana mpango kama wa jamaa waache.

    ReplyDelete
  14. Kesho nita-scan na kuwatumia respond toka FBI - lilian.

    ReplyDelete
  15. Mtoa mada, nakubaliana na wewe kwamba kuweka aina izo za picha si kitu chema. Ila ninapingana na wewe unaposema kwamba FBI watamtafuta popote duniani na kumkamata. I don't believe in you unaposema kwamba hao jamaa wamekuahidi watamfatilia huyu mtu mwenye tabia chafu. Ninafikiri huelewi maana ya FBI na hufahamu mipaka yao ya kazi. Herufi "F" katika FBI inasimama kwa "Federal". Hivyo basi mipaka yao ya kazi ni within nchi yao. Hawafanyi kazi nje ya hiyo mipaka. Try another organization if you really want to stop this guy. Mind you, kila nchi ina sheria zake katika mambo ya mitandao, na usishangae kukuta hamna sheria ya kudhibiti mitandao uko jamaa unayemripoti aliko.

    ReplyDelete
  16. Acheni kulalamika nakutumia njia ndeefu sijui FBI sijui CIA ukikutana na Osama mtawaita FFU?

    Lili ulichokifanya ni kumtangazia soko kwani kila mtu sasa ataenda tafuta hiyo utamu sijui nini ili aone kulivyo.

    Njia rahisi ya kumzuia ilikuwa ni kumripoti kwa wenye kumiliki blogs ambao ni google.

    Whoever mwenye hekima na busara awaandikie hao jamaa na watamchukulia hatua za kisheria hasa kama anatumia picha za watoto.

    Dinah.

    ReplyDelete
  17. Naona jamaa wameondoa site hii

    ReplyDelete
  18. kama kweli mna machungu na huyu jamaa kwanini hamjaweka address ya blog yake?

    ReplyDelete
  19. Google Blogspot hawana policy ya kuondoa blog za porno so sijui kumripoti kwa google kutasaidia nini??
    Kwa aliyesema saiti imeondoka mbona mimi naiona bado?

    ReplyDelete
  20. Hivi jamani hamjui kuwa hiyo blog inaelimisha na inawatia adabu "masuperstar" wa Bongo wenye tabia chafu ya kupiga picha za utupu kwa kuwaanika kwa jamii.Lilian kuna mambo mengi sana ya kufuatilia Bongo kama kweli mkereketwa!!! lakini sio blog hii

    ReplyDelete
  21. HIYO BLOG INAELIMISHA JAMII KWANI INAKEMEA WATU WENYE TABIA CHAFU ZA KUPIGA PICHA UTUPU HASA MASTAR WA BONGO MIMI NASHANGAA KUIPIGA VITA. NAMSHAURI HUYO DADA AJARIBU KUFUTILIA MAMBO YA MUHIMU KWA WABONGO KAMA UFISADI,UKIMWI, UMASKINI N.K KAMA KWELI MKEREKETWA!!

    ReplyDelete
  22. PORNOGRAPHY AND OBSCENITY:

    Pornography and Obscenity: Image and video content that contains nudity, sexually graphic material or material that is otherwise deemed explicit by Google, should be made private. Otherwise, we may put such content behind an interstitial.

    Paedophilia, Incest and Bestiality: Users may not publish written, image or video content that promotes paedophilia, incest and bestiality.


    Commercial Pornography: We do not allow content that exists for the primary purpose of monetising porn content or driving traffic to a monetised pornography site.
    Child Pornography:

    Google has a zero-tolerance policy against child pornography and we will terminate and report to the appropriate authorities any user who publishes or distributes child pornography.

    ReplyDelete
  23. Lilian, na wengine wenye mawazo kama Lilian.

    Kwanza wale woote wanaodhani kwamba US ni mwisho wa dunia. Acheni kukaa nyuma kiasi hicho. Dunia iko mbali sana hasa kiteknolojia na imesambaa. Servers zamani zilikuwa US tu lakini siku hizi mtu akitaka kurusha Porn sites hana haja na US, yupo tajiri mmoja toka Ulaya ya kaskazini (sitaki kumtaja jina) amenunua kisiwa ambacho kilikuwa kinatumiwa na Hitler kwa ajiri ya mahandaki yake ya siraha kali, na kisiwa hicho kilicho kaskazini karibu na ICELAND ameweka severs kubwa sana kwa ajili ya kuhost na kusambaza illegal porn sites, na sites za ku-crack softwares. pia kila kilicho illegal unachokihisi na kutaka kukirusha kwenye web, unakaribishwa kwake kwa gharama nafuu.
    Hao FBI (FFU wa Marekani) na CIA na wenzao woote wanajua kuhusu hilo, lakini hawafanyi lolote, as far as they get their taxes na uchumi wa europe unakua.
    Sasa wewe Lilian, unataka ufanye maloloso yako afu udhani itakuwa siri. Huyo jamaa akiwa kama mmbongo atakulipua tu, tena kama hana picha yako ataitafuta hata Hi5 ili akuripue. PUNGUZA mapepe hutaona mtu anakufuatafuata.

    Kwanza nahisi wewe ndo huyo jamaa, kwani umenifanya hata mimi nisiyemjua niitafute hiyo blog (site) niiangalie. sasa umesaidia jamii au umezidi kuipotosha?

    Kama kuna porn za watoto wadogo, kwanini wewe uangalie? Acha kutangaza biashara za watu humu. tena acha kutangaza biashara haramu. Umesababisha kila mtu anaesoma humu aitafute hiyo na kuangalia, sasa kama alikuwa na watazamaji 10000 umemzidishia mno. Tumia akili unapofanya jambo.

    Lilian nakulaumu kwani umetumia chuki zako wewe na huyo jamaa, ambaye mnajua mlichonyimana na kuwekeana picha chafu kwenye blog, ukataka na wewe umuharibie, bila kujua kwamba unamzidishia umaarufu.

    Hakuna shirika lolote duniani linaloweza kustopisha biashara haramu za kwenye web. sanasana wanaisaport kichinichini ili wazidi kupata wateja wengi na kutangaza biashara zao. Sites za porn na ujinga, zinaangaliwa na watu wengi mno kuliko sites zenye maadili na kufundisha jamii, kwahiyo ni rahisi kutangaza biashara huko. Biashara haramu zinakuza sana uchumi wa nchi za magharibi kama hujui.

    Nawachukia wasiolewa, nawachukia na WAKOLONI.

    Mvuvi nisiye haramu

    ReplyDelete
  24. Mimi nakubaliana na dinah, kuweka hapa ni kumtangazia. Kama uliona picha za watotoza ngono ungetafuta namana yakumripoti hebu jaribu hapa http://www.reportchildporn.com/
    Hao jamaa wenye bulogu ambao huyojamaa kawaunganisha kwake ni wazi kuwa wanafurahia na ndio maana hawakushituka kumkomesha kuwa asiweke blogu zao kwenye blogu yake.

    Picha za ngono kwa wenye umri wa zaidi ya miaka 18 hazina matatizo kwani sote tunafanya na kufanywa ila za wadodo wadogo amabo ni chini ya miaka 18 ni a-buse na yeyote anaefanya hivyo anapaswa kutengwa na jamii. Bongo kuna mijibaba kibao inafanya ngono na watoto na hakuna sheria inayomrinda mtoto huyo na kwa mtindo wa blogu hii siku zijazo tutakuja kuna watoto wetu wadogo wakifanyishwa ngono na mijibaba.

    Kama mzazi mimi napinga kuwa hiyo blogu haielimishi bali inadhalilisha na ku-abuse watoto sexually. Michuzi hukupaswa kumwambia Lily amripoti moja kwa moja kwa wanaohusika. Aibu sana.

    ReplyDelete
  25. Blog yetu imepokea vitisho pale kwa blog ya michuzi eti sisi wamiliki wa blogu hii tunatafutwa na FBI. Ni masikitiko makubwa sana kuona huyo dada aliyejitambulisha kama Lilian wa Texas, kwa sababu zake binafsi anaisakama blogu yetu, sie pamoja na wadau wa blogu hii tunasonga mbele katika kuendeleza libeneke hili na bwana michuzi alichofanya kuianika habari ile ya vitisho kwenye blog yake ni kutupatia umaarufu zaidi na zaidi. We say "Aluta continue and they can't just stop us like that".
    Wadau na waakilishi wetu tutumieni picha za KIBONGO zaidi na zaidi kupitia email theutamu@gmail.com ili blogu yetu ijibu shutuma hizi kwa kishindo. Tunajua na kutambua kuwa wadau wengi wa blogu hii ni Watanzania either hapa bongo au popote duniani na wengi wa WaTZ wanapenda mambo kama haya ndio maana hatufanikiwi kimichezo, kisiasa, kiuchumi na maendeleo lakini ni unafiki tu umetujaa au wadau mnasemaje???

    ReplyDelete
  26. Huyo lili nae hana mpango kawataarifu FBI kwa sababu na picha yake ya utupu ilokuwa Hi5 nayo iliwekwa huko au...FbI wana mambo muhimu ya kufatilia sio utumbo huo plzzz acha tisha toto kwa watu wazima.Na iweje uweke picha yako ya utupu hi5 or myspace ???to me weee ndo ulikuwa unataka publicity to world ya mwili wako.

    ReplyDelete
  27. hivi dada lilian nchi yetu imeanza kuwa masikini baada ya kuanzishwa kwa hiyo blog? nchi yetu ni masikini toka uhuru mwaka 1961 sasa badala ya kuripoti viongozi wetu wala rushwa FBI unakwenda kuripoti blog iliyoanza hata miaka miwili haijafika, sasa baada ya kuiblock hiyo blog ndio uchumi wa nchi utakuwa? kuna mambo makubwa na ya muhimu ya kufanya kwa nchi yako kama kweli wewe ni mfurukutwa lakini sio kupoteza muda wako labda hata uliomba off kazini kwenda FBI office kuripoti jambo kama hili na wao wakakutia moyo kuwa watafuatilia si ajabu ulipotoka wote walivunjika mbavu kukucheka! think twice b4 u act dada lilian

    ReplyDelete
  28. Yaani kuna watu wajinga sana,mnataka kufanya kila mtu mjinga nini?Kusema umeripoti FBI ndiyo nini?Na unasema hii website inaonyesha pornographic to minors,kwani website ngapi zinafanya hivyo na pili huwezi kumzuia mtoto kulog in kwenye website za xxx rated.Website nyingi za sex zinaweka warning kwa minors tu na hata hivyo watoto bado wanaingia,na huo mkwara wako wa kishamba wappelekee waporipori wenzako.

    ReplyDelete
  29. IDUMU UTAMU KUJING'ATA BLOG,ENDELEZA MKUU HUYO LILIAN SIJUI HATAJIJU,ATALIJUA JIJI YEYE ALIKUWA ANAWAZA NINI KUWEKA PICHA ZAKE AKIONYESHA MAPAJA HI5???ALIKUWA ANATANGAZA BIASHARA YAKE??BASI NA NYIE MMEMSAIDIA KUTANGAZA PIA AU VIPI....BADALA YA KUFANYA MAMBO YA MUHIMU ULAYA WAMEKALIA USHANGINGI......LETE VITU ZAIDI USITISHWE NA HUYO HUENDA ANAFURAHI KUITANGAZA BIASHARA.MTU MZIMA HATISHIWI NYAU.........

    ReplyDelete
  30. Wee lillian nani aliekuambia ujianike kwenye hi5 kisha mikwala yako ya kizamani kweli na ya kitoto ulimwengu huu sio wa kumtisha mtu hao FBI waambie wakamkate Bin lade huko Pakstani

    ReplyDelete
  31. Hivi huyo utamu wa kujing'ata kawaeka watu wako bafuni wanaoga. Je wanajua au wamerekodiwa bila kujua. Hao ndio wakumtafuta mwenye blog na kuliongeza likashesheshe kwake.

    Yaani bongo wameshafikia stage ya kuweka camera kwenye bafu za wanawake.....mmmmm hii kali. Kama hao watu hawajampa hii tape hapo ndio wanahaki ya kutafuta vyombo vya sheria huko waliko wamhukumu huyu jamaa na ameipata wapi hii picha. Lakini kama wao wamempa basi haman acha kulala mika.

    Na wew liliani kama una watoto wako unajua ulimwengu hautakusaidia kitu ni wewe unajisaidia mwenyewe.

    Ngoja ni kupe tip.
    1 hamna computer chumbani kwa watoto,
    2. make sure unajua your kids friends cycle
    3. unjua mwanao anafanya nini kwenye computer not all the time lakini pop in and out.

    4.Soma history kwenye computer baada ya yeye kutoka kwenye computer often na utaona ni site gani ameeenda

    5 blog porno material ...lakini hii ni kwa site zilizoregistiwa.


    Kumtangaza huku imenifanya hata mimi ni google hilo jina na nilikua hata siko aware na hii blog. Sasa wew umemuengezea hit....na FBI hawana authority nje ya USA kila nchi ina sheria zake. Hii mamabo ya kusema umwewaambia FBI ni huko iuliko na huyo mwenye blog kama yuko nje ya US hamana cha kufanya.

    USA sio Mungu wa ulimwengu kila nchi inasheria zake na law zao ndio maana kuna nchi za uarabuni wameblock all site ambazo sever wake yuko kwenye western countries.

    ReplyDelete
  32. I feel shy as if i didn't born in this globe.
    Wewe unayesema ni mmiliki wa hiyo utamu wako....jaribu kuwa mwangalifu sana unapoweka picha anyway unauhuru ilmradi hujavunja sheria lakini kumbuka ikosiku atawekwa MAMAKO,DADAKO NA MKEO hebu niambie ni aibu gani utajisiskia kuona kuma ya mamako???????na kama hiyo haitoshi mkeo????.
    Halafu Michuzi hana kosa sababu anauhuru wa kuweka maoni ya kila mtu kwenye blog yake sababu haweki ujinga.
    Lilian you right haipendezi hata Kidogo kuweka picha hasa za watoto.

    ReplyDelete
  33. Liliana hukufanya jambo zuri kuleta hiyo habari hapa. Mie naona umempatia umaarufu zaidi huyo jamaa.

    Kuhusu vitisho unavyompa vya FBI sio suluhisho hata kidogo. Wamarekani hawana time ya kufuatilia vitu kama hivyo ila inapohusu watoto then utaona ubaya wao.

    Kuhusu MAC address. Ni kweli uanweza kuipata computer aliyotumia kupublish site yake lakini hiyo pekee haitoshi. Kuna mbinu nyingi lazima zitumie kumsaka. Mbinu kuu ni Social Engineering(Kama umesomea Ethical Hacking utajua kabisa kuwa hii mbinu ni the best).
    Hivyo basi kama upo kwenye fani ya computer na unaujuzi wa kupenya kwenye protected system then anza kumtrack mwenyewe. Kuna tools nyingi online unazoweza kutumia. Lakini elewa kuwa kama yuko bongo inakuwa much harder kumpata kutokana na nature ya comunication infrastructure zetu.

    Pia elewa ukiamua kumripoti polisi itabidi ujiandae kutoa ushahidi wa kutosha. Ambapo unaweza kujikuta hata hela yako inakutoka. Polisi wont take any nonsense from you. Kwani hao watoto waliopigwa picha za uchi wako wapi?

    Soma tena sheria za ponography na usikurupuke kuropoka. Utachekwa.

    Kuhusu kuweka tahadhari kwenye front page itakuwa ngumu kwani hiyo ni blog na UTAMU hawana access ya kubadili layout ya site.

    ReplyDelete
  34. Ah kimsingi ni watu wenyewe kuwachunga watoto wao au kuwapa ushauri mzuri kisaikolojia.
    Mi sidhani anayepost pono ni utamu pekee si kweli. ipo mitandao mingapi ya ngono bana!!
    Kwanini Hao FBI wasidili na hiyo. Kwanza mi naamini utamu ni popular miongoni mwa watu wazima zaidi, Sioni kama ni ishu kiivo.

    Kuna vitu katika maisha haviepukiki, watu wengine utamu huwa inawapa recreational kiana.
    hivi Liliani we ni mtakatifu sana sio...???

    ReplyDelete
  35. Kama jamaa ameshawahi kupost picha za minor kwenye site yake basi hiyo ni kesi tayari haina ubishi FBI watatoa tips kwa Interpol ambao watact kwa kushirikiana na Polisi wa Tanzania, kwa kuangalia picha nyingi jamaa anazinyofoa kutoka kwenye website ya Waghana(kesi nyingine), kuiba picha kwenye social networks bila ridhaa ya mhusika(copyright infringement) ni sawa na Identity theft(browsing social network (MySpace, Facebook, Bebo etc) sites, online for personal details that have been posted by users)kwa kifupi jamaa tayari ana multiple charges kama kesi ikifunguliwa. Nawashauri wote waliochukuliwa picha zao wawasiliane na Hi5, Myspace etc na kutoa link ya sehemu ambako picha zao ziko.

    ReplyDelete
  36. Kama jamaa ameshawahi kupost picha za minor kwenye site yake basi hiyo ni kesi tayari haina ubishi FBI watatoa tips kwa Interpol ambao watact kwa kushirikiana na Polisi wa Tanzania, kwa kuangalia picha nyingi jamaa anazinyofoa kutoka kwenye website ya Waghana(kesi nyingine), kuiba picha kwenye social networks bila ridhaa ya mhusika(copyright infringement) ni sawa na Identity theft(browsing social network (MySpace, Facebook, Bebo etc) sites, online for personal details that have been posted by users)kwa kifupi jamaa tayari ana multiple charges kama kesi ikifunguliwa. Nawashauri wote waliochukuliwa picha zao wawasiliane na Hi5, Myspace etc na kutoa link ya sehemu ambako picha zao ziko.

    ReplyDelete
  37. mwanawane kitendo cha kumtangaza hapo kimenifanya na mimi nijimuvuzishe moja kwa moja mpaka kwenye utamu na mimi kupata utamu. ila nafikiri jamaa hana nia mbaya na blogu yake ila kwa wale wanaohofia ni wale wenye matendo machafu na hawajui kuwa watu wanawajua na wanajua kama wanajulikana basi watu wengi watazidi kuwajua na wakijulikana basi ni soo kuwa. mwanawane mi nitamuvisha picha za jamaa fulani hivi maarufu hapa bongo na mwanamke fulani hivi laiv kwa the utamu. stay focused on theuatamu blog for the pict of those superstars wa bongo.hahahahahahah!

    ReplyDelete
  38. MIMI KWA USHAHURI WANGU,,NAONA LILIAN UMEJIHARIBIA JINA NA KUMTANGAZIA HUYO JAMAA SOKO. KWANI MPAKA MIE NIMESHAIJUA HIYO BLOG NA HIVI NINA HAHA NITAFUTE PICHA YAKO NII COMMENTS CZ NAHISI UTAKUWA UMEJIACHIA SANAAA :D
    HUYO JAMAA KUMSHIKA NO VIGUMU CZ HATA KAMA INERPOOL WAKISHIRIKIANA NA POLISI WA TZ NI VIGUMU KUWA NA SHERIA MAHAKAMANI YA WIZI WA PICHA HI5 AU MYSPACE CZ MMLIKI ANVYOWEKA PICHA HI5 HAONYESHI COPYRIGHT YAKE KUWA M2 MWINGINE HATAKIWI KUUCHUKU PICHA YAKE KINYUME NA SHERIA SO KAMA AMECHUKUA NA HUKUONNTESHA ANY CPOYRIGHT LESENI NAKUPA POLEEEEEE........ JAMA ANAZAIDI PETA NA KUJIPATIA WAFUASI.
    INGAWA ANACHOFANYA NI VIBAYA BT KUMKAMATA NI VIGUMU NA SHERIA INAMLINDA. GOOGLE, FBI, CIA,INTERPOOL HAWASAIDII CHOCHOTE.
    HIZO PICHA ZA WATOTO ZA MAPENZI MBONA ZIMEJAA SITE ZINGINE.??? TENA MADOGO WENYEWE WANAPENDA :-D
    NA WANAFURAHIA KWELI :D FBI WANAKUPA MOYO 2 BT HAWANA MSAADA WOWOTE.
    SO LILIAN KAMA VP FUNGUA SITE YAKO YA AU BLOG YAKO UTOE PICHA ZAKO HATA ZA UTUPU POA 2 UZIWEKEE COPYRIGHT ILI ZE UTAMU ASIZIIBIE :D BT SS 2ZICHEKI:D
    OI WANA ILE BLOG IPO MWAKE KWELI HADI KUNA PICHA ZA WAKUBWA :D ICHEKINI WANA :D

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...