Bwana Michuzi,Mimi ni ustaadh AbdulKareem Ali wa Jefferson City, Missouri, USA, nawatakia kila la kheri Eid El Fitri woote wale waliouona mwezi majuma kadhaa yaliyopita si unaona mwenyewe Swaumu ilivyo kali......

Maassalaam --

AbdulKareem Ali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Aww Abdul naona umechoka kwa swaumu hapo kwene kochi, Eid Mubarak kwako pia, najua ujaona mwezi bado lakini kila la kheri ktk skukuu na umalizie swaumu mbili.

    ReplyDelete
  2. Jamani mtoto mbona mzuri hivi, mnamfungisha saumu? Kaka Michuzi naomba contact za baba yake,mbegu nzuri hii.

    ReplyDelete
  3. Inshallah bwana Ali Mohammed, naona dogo anaendelea kuwa ngangali. Eid mubarak....Taliwaka!

    ReplyDelete
  4. Naona Swaumu Imekukaba Mkuu! Taratibu tu utazoea maana umeingia kwenye nyumba ya Maustaadhi.Ramadhan hakuna msosi inabidi ufunge tu!!Hongera sana Talwaka kwa kuuona Mwezi.Eid Mubarak!!

    ReplyDelete
  5. nyoo! anon wa pili unawaza kubanduliwa na light skin.mimi ni mweusi lakini natoa majimaji meupeeeeeeee, njoo nitakupatia.

    ReplyDelete
  6. anony una nyege kama sungura pori? babaake wa nini? Kufa peke yako na ukimwi wako.

    ReplyDelete
  7. Dogo anablog yake huyo....Peterphiles wote marufuku.
    http://mohamedzuheri.blogspot.com/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...