Entrepreneurs from 214 and 713 TEXAS wish all Muslims across the globe Eid - Mubarraqa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mumependeza kweli mumekaa kama wasela wa kimombasa
    you are so sweetie so honey

    ReplyDelete
  2. wote hawa ni ma bwana wa lilian t. amazing s**t

    ReplyDelete
  3. oogopa wewe,I get you righ Ben.DERICK

    ReplyDelete
  4. Hawa wote nawajua wanaishi Mahuta, Newala. Tusidanganyane! Tofauti ni kubwa kwa mtu aishie Bongo na yule wa Majuu.

    ReplyDelete
  5. enterpreneurs,huh.Kuuza maandazi na ubuyu nako ni kuwa enterpreneurs?Acheni washikaji.

    ReplyDelete
  6. mmependeza jamani..tunaona nguo tu sura hazionekani ni giza sana,tungefurahi zaidi kuona sura ili tuwatambue

    ReplyDelete
  7. anon wa hapo juu lilian t. ndio nani ?

    ReplyDelete
  8. duh ,ichuzi kazi ipo hapa.marekani naona kila mtu anaona gangsta style ndo babu kubwa.

    ReplyDelete
  9. Huyo anonymous 10:40am naomba sana stay away auto of my b***ch life ....tafuta commets zingingine za maana mind ur on business .

    ReplyDelete
  10. aha aha aha whoever made the second comment thanks i didn't know that. But anyway asalaim alaykum Mzamo. Eid njema dear. I'm sorry i don't know the other gentleman. Love Vi.

    ReplyDelete
  11. MACHINGA OYEEEEEEEE!NAONA MMEJILIPUA!MNAJIONA MMPENDEEEEZA NA MAPOZI YENU YA MWAKA 1980!ENZI HIZO SISI KAKA ZENU TULIKUA TNARUKA NYOKA KILIMJALO HOTEL NA MBOWE CLUB!NYIE MLIKUA BADO MKO KUSINI UKO!YANI NACHINGWEA,SIJUI NEWALA,YANI MNABOA!!MNAJICHOLESHA MABITOZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...